Rekodi kuu za umma
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wiktionary kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 10:34, 4 Oktoba 2024 Muddyb majadiliano michango created page compel (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{en}}=== ===kitenzi=== #ni neno la Kiingereza lenye maana ya shurutisha au lazimisha. {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 10:30, 4 Oktoba 2024 Muddyb majadiliano michango created page shurutisha (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ====kitenzi==== =====maana===== #'''kulazimisha mtu afanye kitu kwa nguvu au kwa amri.''' *mfano: '''Alimshurutisha mtoto kwenda shuleni.''' (Alimlazimisha mtoto kwenda shuleni). =====visawe===== * '''lazimisha''' * '''fanyisha''' * '''amrisha''' ====Tafsiri==== *'''Kiingereza''':compel, force {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 10:13, 4 Oktoba 2024 Muddyb majadiliano michango created page fanyisha (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===kitenzi=== ===matamshi=== *kipashio: ''fa-nyi-sha'' '''IPA''': /fɑɲiʃɑ/ *maumbo katika sarufi: **Muda uliopo: na-fanyisha ***Muda uliopita: li-fanyisha ****Muda ujao: ta-fanyisha ===maana=== #kusababisha au kulazimisha mtu kufanya kitu **Mfano: ''Mwalimu alifanyisha wanafunzi zoezi la hesabu.'' ***''(Mwalimu aliwasababisha wanafunzi wafanye zoezi la hesabu).'' #kumfanya mtu afanye jambo kwa nia au lengo fulani ***mathalani: ''A...') Tag: 2017 source edit
- 13:59, 27 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango created page goma (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===nomino=== '''goma''' ''(nomino, linaweza kuwa wingi au umoja)'' #goma ni kitendo cha kususia kazi au shughuli fulani kwa lengo la kudai haki au kuonyesha kutoridhika na hali fulani.') Tag: 2017 source edit
- 13:26, 24 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango created page banquet (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{en}}=== ===nomino=== #ni neno la Kiingereza lenye maana ya dhifa kwa Kiswahili.') Tag: 2017 source edit
- 13:20, 24 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango created page needed (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{en}}=== ===kitenzi=== #ni neno la Kiingereza lenye maana ya hitajika.') Tag: 2017 source edit
- 13:20, 24 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango created page required (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{en}}== ==Kitenzi== #ni neno la Kiingereza lenye maana ya hitajika.') Tag: 2017 source edit
- 13:05, 24 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango created page hitajika (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== ==Kitenzi== #'''hitajika''' ni neno la Kiswahili linalomaanisha "kinachotakiwa" au "kutakikana." {{en}}: required, needed') Tag: 2017 source edit
- 12:15, 6 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango alihamisha ukurasa wa mpenzi wa baridi hadi krayofilia (Kuswahilisha)
- 12:12, 6 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango alihamisha ukurasa wa kipenda Asidi hadi asidifoliki (Angalau!)
- 12:09, 6 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango alifuta ukurasa wa mzigo muhimu (Neno si ya Kiswahili: Kilichoandikwa hakiendani na maana ya neno.)
- 11:41, 6 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango alihamisha ukurasa wa mpenda kinyesk hadi bimbilisa mavi (jina halisi)
- 11:35, 6 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango alifuta ukurasa wa Umeme wa kidesturi (Neno si ya Kiswahili: Kinachoelezwa ni kinyume kabisa. Uteuzi wa istilahi pia ni shida.)
- 09:03, 6 Septemba 2024 Muddyb majadiliano michango alihamisha ukurasa wa mchujaji wa msukumo hadi chujio la msukumo (AI translated term. Nimeweka katika msingi halisi.)
- 13:40, 23 Agosti 2024 Muddyb majadiliano michango created page Majadiliano:Informatics ya mazingira (Kiswanglishi?: mjadala mpya) Tag: New topic
- 11:02, 23 Agosti 2024 Muddyb majadiliano michango alihamisha ukurasa wa Biogeofizikia hadi Biojiofizikia (Jina lina Uzungu ndani.)
- 09:43, 15 Agosti 2024 Muddyb majadiliano michango created page fariki (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===kitenzi=== '''fariki''' #Kufa; kupoteza uhai. '''Mfano:''' Babu yangu alifariki dunia mwaka jana. {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 08:45, 15 Agosti 2024 Muddyb majadiliano michango created page elekea (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===kitenzi=== # Kusonga au kwenda upande fulani; kuenda kwenye mwelekeo fulani. Mf. ''Tulielekea mjini mara tu baada ya kumaliza kula chakula cha mchana.'' # Kuonyesha dalili za kuwa kitu fulani kitatokea. mathalani: ''Hali ya hewa inavyoonekana, inaelekea mvua itanyesha leo.'' ===visawe=== * nenda * songa * fikia {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 08:31, 15 Agosti 2024 Muddyb majadiliano michango created page elezea (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ''kitenzi'' (kiwanga - '''elezea''') # Toa maelezo au ufafanuzi wa jambo fulani. '''Mfano:''' Mwalimu alituelezea jinsi ya kufanya hesabu hii ngumu. ===Vitenzi vinavyohusiana=== * '''eleza''' - Kutoa maelezo au ufafanuzi. * '''elezewa''' - Kupata maelezo kutoka kwa mtu mwingine. ===visawe=== * fafanua * toa ufafanuzi *'''Kinyume chake''' *ficha {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 08:22, 15 Agosti 2024 Muddyb majadiliano michango created page Majadiliano ya mtumiaji:Kwamikagami (Karibu katika WiKamusi ya Kiswahili: mjadala mpya) Tag: New topic
- 14:26, 7 Agosti 2024 Muddyb majadiliano michango created page elewesha (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== === Kitenzi === '''elewesha''' ''(ki- na ku-)'' #kufanya jambo kuwa rahisi kueleweka; kutoa maelezo ya kina juu ya jambo fulani ili liweze kufahamika vizuri. *: ''Mfano: Mwalimu aliweza kuelewesha somo gumu kwa wanafunzi wake hadi wakaelewa.'' #kutoa ufafanuzi au ufahamu zaidi juu ya jambo fulani. #: ''Mfano: Kitabu hiki kimeelewesha vizuri historia ya nchi yetu.'' ==== Viunganishi ==== fafanua fundisha eleza {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 13:51, 7 Agosti 2024 Muddyb majadiliano michango created page elekeza (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== === Kitenzi === '''elekeza''' ''(ki- na ku-)'' #kutoa maagizo au maelekezo kwa mtu au watu juu ya nini cha kufanya. *'''Mfano:''' Mwalimu aliweza kuelekeza wanafunzi wake vizuri kwenye mradi wa sayansi.'' #kuonyesha njia au mwelekeo kwa mtu anayeuliza. *'''Mfano:''' ''Aliweza kumwelekeza mgeni jinsi ya kufika sokoni.'' {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 13:36, 7 Agosti 2024 Muddyb majadiliano michango created page daia (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== === Nomino === '''daia''' ''(n- n)'' #kifaa au chombo kinachotumika kupimia na kusambaza dawa za kioevu au kemikali. *''Mfano: Madaktari hutumia daia kutoa kipimo sahihi cha dawa kwa wagonjwa.'' {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 13:30, 7 Agosti 2024 Muddyb majadiliano michango created page chemba (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== {{sw}} == === Nomino === '''chemba''' ''(n- n)'' #Chumba kidogo au sehemu ya ndani ya kitu. #Sehemu ya chini ya ardhi iliyojengwa kwa ajili ya kuhifadhi vitu au kufanya kazi maalum. {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 13:19, 27 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page eleleza (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== #'''elez'''.'''a''' ''kt'' [''ele''] ni kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu jambo fulani ili kuwa wazi na rahisi kuelewa: ''~ kwa mifano''; ''~ wazi'' fafanua, chambua, elezea; ~ ''jambo jumlajumla''. (''tde'') '''elezea'''; (''tdk'') '''elezeka'''; (''tdn'') '''elezana'''; (''tdw'') '''elezwa'''. {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 12:30, 25 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page pingili (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== === Nomino === '''pingili''' ''{{cl|ki}}'' #moja ya sehemu ndogo zinazounda mfupa wa uti wa mgongo au mifupa ya vidole. *"Pingili za uti wa mgongo ni muhimu kwa harakati za mwili." #sehemu ndogo ya kitu kinachotenganishwa kwa vipande vidogo. *"alivunja pingili za mkufu ili kutengeneza vipande vidogo." === Visawe === *kipande *sehemu ===Tafsiri=== *{{en}}: ring') Tag: 2017 source edit
- 12:13, 25 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page pingamizi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== Kiswahili == === Nomino === '''pingamizi''' #Kitendo cha kupinga au kukataa jambo fulani. *Mf: "Aliwasilisha pingamizi dhidi ya uamuzi wa mahakama." #Hoja au sababu inayotolewa ili kupinga jambo fulani. #"Wanasheria waliwasilisha pingamizi mahakamani." === Visawe === * upinzani * kipingamizi Jamii:Maneno ya Kiswahili') Tag: 2017 source edit
- 12:08, 25 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page pinga (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== Kiswahili == === Kitenzi === '''pinga''' ''(hali ya kufanya tendo)'' #Kukataa au kupinga jambo, pendekezo, au maoni. #"Alipinga wazo hilo kwa nguvu zote." #Kusimama dhidi ya jambo, mtu, au hali kwa nguvu. #"Wananchi walijitokeza kupinga sera mpya za serikali." === Visawe === *kataa *kanusha *zuia === Nomino === '''pinga''' #(maumbo) Kipande cha mti, mbao, au chuma kinachotumika katika ujenzi au shughuli mbalimbali. #"Walitumia pinga...') Tag: 2017 source edit
- 11:58, 25 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page pinduliwa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== #'''pinduliw.a''' ''kt'' [sie] 1 kupinduliwa au kuondolewa madarakani: ''Serikali ime~''. #2 (sio rasmi) kuchukua mume au mke wa mtu. "Ndoa yake imepinduliwa." ==Tafsiri== *{{en}}: overthrown') Tag: 2017 source edit
- 11:50, 25 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page pindu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===kitenzi=== #'''pindu'''<sup>1</sup> ''kl'' neno la kusititiza mpinduo: ''Pinduka ~'' imepinduka kabisa. #'''pindu'''<sup>2</sup> ''kv'' inayopinduka, ipindukayo.') Tag: 2017 source edit
- 11:45, 25 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page pajama (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' ==={{sw}}=== === Nomino === '''pajama''' ''{{cl|li}}'' # (moja) Mavazi yanayovaliwa wakati wa kulala; mavazi ya usiku. #* "Nimenunua pajama jipya la kijani kwa ajili ya majira ya baridi." # (moja) Seti ya suruali na fulana au shati nyepesi inayovaliwa kwa ajili ya kulala. #* "Watoto walivaa pajama zao kabla ya kulala." === Visawe === * mavazi ya kulala * nguo za usiku === Mifano === '''pajama''' ''{{cl|li}}'' # Ninapendelea kuvaa pajama...') Tag: 2017 source edit
- 10:55, 21 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page Majadiliano ya mtumiaji:Said Mfaume (Karibu!: mjadala mpya) Tag: New topic
- 12:45, 20 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page pagaa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== ==kitenzi== #'''paga.a''' ''kt'' [''ele''] beba (mf. mzigo) kichwani au mabegani. (''tds'') '''pagaza''' {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 12:34, 20 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page pachipachi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== ==nomino== '''pachipachi''' ''nm [ i-/zi-]'' nafasi baina ya mapaja: ''Ameificha katika ~ ya'' {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 12:30, 20 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page pachika (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== ==kitenzi== #'''pachik.a''' ''kt'' [''ele''] 1 ingiza au chomeka kitu (ndani), weka sawa: ''~ kisu mshipini'' #mpe au kujipatia cheo usichostahili: ''Ameji~ ukubwa'' (''tde'') '''pachikia'''; (''tdk'') '''pachikika'''; (''tds'') '''pachikisha'''; (''tdn'') '''pachikana'''; (''tdw'') '''pachikwa'''. {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 12:26, 20 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page pa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '=={{sw}}== ==kitenzi== '''p.a''' ''kt'' [''ele''] patia, toa: ''Ameni~ pesa'' (''tde'') '''pea''', (''tden'') '''peana''', (''tdew'') '''pewa'''. {{KWW}}') Tag: 2017 source edit
- 07:01, 16 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page Jamii:Vigezo vya Wikamusi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Jamii:Jamii kuu') Tag: 2017 source edit
- 07:01, 16 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page Jamii:Vigezo vya mbegu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Jamii:Vigezo vya Wikamusi') Tag: 2017 source edit
- 19:40, 14 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page Jamii:Wikamusi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Jamii:Jamii kuu') Tag: 2017 source edit
- 19:40, 14 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page Jamii:Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Jamii:Wikamusi') Tag: 2017 source edit
- 19:39, 14 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page Kigezo:KWW (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{| style="font-size:90%; width: 65%; padding: 3px; margin: 0 auto;" class=toccolours |- | 30px| |Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa '''Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili'''. Unaweza kusaidia [{{SERVER}}/w/index.php?stub&title={{FULLPAGENAMEE}}&action=edit kuihariri na kuongeza habari]''. |}Jamii:Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili<noinclude> Jamii:Vigezo vya mbegu </noinclude>') Tag: 2017 source edit
- 10:04, 10 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page kichapuzi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===Nomino=== #kichapuzi ni kifaa au zana kinachotumiwa kuharakisha au kuongeza kasi ya mchakato fulani. Kwa kawaida, neno "kichapuzi" linatumika katika muktadha wa teknolojia au fizikia, lakini pia linaweza kutumika kwa muktadha mpana kumaanisha kitu kinachosababisha jambo fulani kufanyika haraka au kwa ufanisi zaidi. ===Tafsiri=== *{{en}};accelerator Jamii:Maneno ya Kiswahili') Tag: 2017 source edit
- 06:41, 10 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page chelewea (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== #Chelewa kwa sababu fulani. Pengine ulichelewa kwa ajili ya kutazama mpira au tabu ya usafiri. *Mfano: ''"Nilichelewea kazini nikishangaa wezi."'' Jamii:Maneno ya Kiswahili') Tag: 2017 source edit
- 06:38, 10 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page chagizia (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== #Chagiza kwa niaba ya mtu au kitu kingine. Mzizi wa neno ni chagiza. Jamii:Maneno ya Kiswahili') Tag: 2017 source edit
- 06:36, 10 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page dalalia (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== ===Kitenzi=== #Fanya udalali kwa niaba ya mtu au kitu kingine. Mzizi wa neno ni dalali. Jamii:Maneno ya Kiswahili') Tag: 2017 source edit
- 19:09, 9 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page katia (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== #katia ni tendo la kukata kwa niaba ya mtu mwingine. ''kt'' [ele] Jamii:Maneno ya Kiswahili') Tag: 2017 source edit
- 18:31, 9 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page julisha (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}=== #julish.a kt [ele] taarifu juu ya kitu au jambo fulani. ==Tafsiri== *{{en}}: acquaint, inform; Jamii:Maneno ya Kiswahili') Tag: 2017 source edit
- 18:27, 9 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page jumuika (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==={{sw}}}=== #'''jumuik.a''' ''kt'' [''sie''] hali ya kukusanyika pamoja katika tukio fulani. ==Tafsiri== *{{en}}:congregate. Jamii:Maneno ya Kiswahili') Tag: 2017 source edit
- 18:20, 9 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page Kigezo:fmbox (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{#invoke:Message box|fmbox|plainlinks={{{plainlinks|yes}}}}}<noinclude> {{documentation}} <!-- Add categories and interwikis to the /doc subpage, not here! --> </noinclude>') Tag: 2017 source edit
- 18:19, 9 Julai 2024 Muddyb majadiliano michango created page MediaWiki:Sp-contributions-footer (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{fmbox | type = system | id = sp-contributions-footer | image = 40px|User info | textstyle = font-size: 90%; text-align:center; | text = <div class="hlist inline"> * [[User:{{{1|Example}}}|{{{1|Example}}}]]: [[Special:Prefixindex/User:{{{1|Example}}}/|Vikurasa]] * [{{fullurl:Special:ListUsers|limit=1&username={{urlencode:{{{1|Example}}}}}}} Wezo za mtumiaji] * [//tools.wmflabs.org/xtools-ec/?user={{urlencode:{{{1|Example}}}}}&projec...') Tag: 2017 source edit