Kwamikagami
Imejiunga 4 Januari 2010
Latest comment: miezi 4 iliyopita by Kwamikagami in topic Karibu katika WiKamusi ya Kiswahili
Karibu katika WiKamusi ya Kiswahili
haririUmewahi kufikiria kuunda hizo makala za alama za nyota katika Wikipedia ya Kiswahili? Muddyb (majadiliano) 08:22, 15 Agosti 2024 (UTC)
- Samahani, unafikiria makala gani? Kuhusu sayari zenyewe? Kwamikagami (majadiliano) 09:11, 15 Agosti 2024 (UTC)
- Makala yoyote ile. Kule kuna rundo la makala za nyota zilizoachwa na marehemu Kipala. Kuona kwamba nawe ni mfanisi katika sekta hii imenipa faraja. Tazama jamii: https://sw.wikipedia.org/wiki/Jamii:Elimuanga Muddyb (majadiliano) 10:06, 16 Agosti 2024 (UTC)
- Kiswahili changu kibaya sana. Sijaitumia kwa karibu miaka 20. Ninaogopa kwamba, ingawa naweza kudhibiti makala rahisi na fupi, kama zile nimekuwa, nitakuwa bure kujaribu kuandika makala halisi. Kwamikagami (majadiliano) 10:30, 16 Agosti 2024 (UTC)