Kiswahili

hariri

kitenzi

hariri
  1. pachik.a kt [ele] 1 ingiza au chomeka kitu (ndani), weka sawa: ~ kisu mshipini
  2. mpe au kujipatia cheo usichostahili: Ameji~ ukubwa (tde) pachikia; (tdk) pachikika; (tds) pachikisha; (tdn) pachikana; (tdw) pachikwa.
  Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.