Kiswahili

hariri

nomino

hariri

goma

(nomino, linaweza kuwa wingi au umoja)

  1. goma ni kitendo cha kususia kazi au shughuli fulani kwa lengo la kudai haki au kuonyesha kutoridhika na hali fulani.