jumuika
Kiswahili
hariri- jumuik.a kt [sie] hali ya kukusanyika pamoja katika tukio fulani.
Tafsiri
hariri- Kiingereza :congregate.
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |