Kiswahili

hariri

Nomino

hariri

cheche (wingi macheche)

  1. chembechembe inayoruka kutoka moto
  2. kipande kidogo cha kitu
  3. mnyama mdogo anayefanana na paka

Tafsiri

hariri