Wiktionary:Neno la siku/Jalada/2020/Oktoba

2020
← Des 2019 Jan • Feb • Mac • Apr • Mei • Jun • Jul • Ago • Sep • Okt • Nov • Dec Jan 2021 →

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 1

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 2

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 3

 
Neno la Siku
ya Oktoba 4
kamusi n
  1. kitabu kilichoandikwa majina na maana yake
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →
 
Neno la Siku
ya Oktoba 5
kamusi n
  1. kitabu kilichoandikwa majina na maana yake
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →
 
Neno la Siku
ya Oktoba 5
ahera n
  1. maisha baada ya kifo
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →
 
Neno la Siku
ya Oktoba 7
bambua t
  1. ondoa ngozi ya juu,funua
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →
 
Neno la Siku
ya Oktoba 8
cheche n
  1. chembechembe inayoruka kutoka moto
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →
 
Neno la Siku
ya Oktoba 12
puya n
  1. aina ya pombe tamu iliyotengenezwa na wimbi
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →
 
Neno la Siku
ya Oktoba 13
puya n
  1. aina ya pombe tamu iliyotengenezwa na wimbi
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →
 
Neno la Siku
ya Oktoba 14
glovu nomino Ngeli I-ZI
  1. kitu kama soksi kinachovaliwa mkononi ambacho hutengenezwa kwa mpira, ngozi au kitambaa na kwa kawaida huwa na nafasi kwa kila kidole
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →
 
Neno la Siku
ya Oktoba 15
Dubu Nomino Ngeli A-WA
  1. mnyama mkubwa wa mwituni mwenye manyoya mengi yasiyo laini ambaye asili ya maisha yake ni sehemu za baridi zilizoko Kaskaziki mwa Dunia
  2. mtu mpumbavu au baradhuli
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 16

 
Neno la Siku
ya Oktoba 17
kiyoyozi Nomino Ngeli ya KI-VI
  1. Mashine inayopoza hewa
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →
 
Neno la Siku
ya Novemba 2
kibatari Nomino Ngeli ya KI-VI
  1. Taa ndogo ya chupa au kopo yenye utambi inayotumia mafutaya taa au dizeli
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 19

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 20

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 21

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 22

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 23

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 24

 
Neno la Siku
ya Oktoba 25
poromoka kitenzi
  1. kitu kuanguka haswa majengo

Mfano katika sentensi:

  • Shule katika kijiji chetu liliporomoka
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →
 
Neno la Siku
ya Desemba 26
kinegwa Nomino Ngeli ya A-WA
  1. ndege jamii ya mbayuwayu lakini mwenye mkia mfupi usio na panda, ana ranging ya kahawia, tumbo jeupe na mraba mweupe kifuani
← jana | Kuhusu Neno la SikuTeaua nenoAcha maoni | kesho →

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 27

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 28

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 29

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 30

Wiktionary:Neno la siku/2020/Oktoba 31