Mtumiaji:Robert Ullmann/Mwananchi/2009-02-03
Mwananchi, Dar es Salaam, http://www.mwananchi.co.tz
- aaah
- Yaani niue albino ndio niwe tajiri, aaah hapana sitaki kuwa kwenye orodha ya wauaji, kama ni umaskini acha niwe, hata kama watu watasema nimeporomoka sawa tu, alijisemea Kazim. [1]
- acha
- Kama hii hapa chini We Makengeza, Wewe ni mwanamume au la? Kama ni mwanamume, acha kutoa viliovilio vyako vya kipuuzi kila siku maana naona unaanza kuwaambukiza hata wengine. [2]
- aende
- Kuna baadhi na wataalam kule alikokwenda kuhangaika walimshauri labda aende nje ya nchi. [3]
- aina
- Tukio hilo ni la pili kwa maafisa wa polisi kujeruhiwa mkoani humo, kwani wiki moja kabla ya hapo, Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Olmolong, wilayani Siha, Stesheni Sajini Gaston alijeruhiwa vibaya na mtuhumiwa wa mauji ailiyekuwa anasakwa kwa tangu 1998, ambaye katika mapambano hayo alifanikiwa kupora magazine ya bunduki aina ya Shot Machine Gun (SMG) ikiwa na risasi 29 na kukimbia nayo. [4]
- ajabu
- Migomo na maandamano ya ajabu ajabu inatukera sana, na hii ni changamoto nyingine kubwa katika kufikia lengo la kuboresha elimu yetu. [5]
- akawa
- Kweli walifanya hivyo, wiki moja baadaye walirudi, Kazim akawa amekubali kwamba angependa kufanya biashara zote mbili yaani ya uvuvi na uchimbaji madini. [6]
- akiwa
- Alisema siku hiyo akiwa ofisini alifika mtu aliyemtaja kwa jina la Nivielelezo vya udongo wenye damu vilipelekwa kwake alifika Sajini Nickobay akiwa na vielelezo hivyo pamoja na maelezo mafupi kutoka kwa ACP Mgawe, kumtaka aandike barua hiyo kwenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali, ili kuvifanyia uchunguzi wa vielelezo hivyo. [7]
- ama
- Mimi sikatai, kupeana kadi kwaweza kusaidia lakini nadhani kila mtu anajua kwamba asilimia 90 au zaidi ya hizi kadi ama zitatupwa ama zitakusanya vumbi miaka nenda rudi kwenye kona ya ofisi au chumba. [8]
- ambao
- Katika kesi hiyo, Zombe na wenzake wanatuhumiwa kuwaua kwa makusudi wafanyabiashara watatu wa madini kutoka Wilaya ya Mahenge, mkoani Morogoro ambao ni Sabinus Sabinus Chigumbi maarufu kama Jongo na ndugu yake Ephrahim Chigumbi, Mathias Lunkombe Juma Ndugu, dereva teksiManzese jijini Dar es Salaam. [9]
- ana
- Hata hivyo, Mhadhiri Mwandamizi UDSM Idara ya Siasa na Utawala, Muhidin Shangwe alisema ana matumaini mafanikio makubwa yatapatikana katika uongozi wa mwenyekiti mpya wa AU, Muammar Gaddaf kutoka na misimamo wake juu ya Afrika. [10]
- anaweza
- Waziri Mkuu anaweza kujihakikishia hili kwa kupitia kwenye vitengo mbalimbali kufanya uhakiki wa wataalamu, kujua wangapi wanajua nini, na kwa uwezo gani. [11]
- angalau
- Ndio maana naipongeza serikali ya awamu ya nne ya kutambua umuhimu wa kuongeza kiwango cha elimu ili angalau Watanzania wengi wakahitimu kidato cha nne. [12]
- angalia
- Hebu angalia kadi za wenyewe. [13]
- asasi
- Wazazi, asasi na mashirika kadhaa yamekuwa mstari wa mbele kuyasemea haya mara kwa mara. [14]
- au
- Tunaomba uchunguzwe kujua kama kuna damu na ni damu ya binadamu au damu ya mnyama. [15]
- aweze
- Katika miaka 10 iliyopita nimeshuhudia ukuaji mkubwa wa matumizi ya teknolojia ya habari, kiasi cha kumfanya Mtanzania aweze kuangalia TV shambani kwake kwa kutumia simu yake ya mkononi. [16]
- bado
- Tunatarajia kukutana hivi karibuni ili tupange mikakati ya chama chetu kwa mwaka huu, lakini pia tunataka kuona idadi ya wachezaji gofu wanawake inaongezeka kwani bado tunaidadi ndogo ya washiriki,"alisema Malaba. [17]
- bali
- Hatuwezi kuongozwa na hisia za jazba bali tutaongozwa na sheria na katiba ya nchi alisisitiza Mohammed. [18]
- bara
- Wakizungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti, wataalamu hao walisema kuwa Kikwete alifanikiwa kwa kiasi fulani katika masuala kadhaa yanayolikabili bara la Afrika ikiwamo migogoro ya kisiasa na uchumi. [19]
- bila
- Kufuatia hali hiyo Wakili wake Denis Msafiri aliitaarifu mahakama kuhusu mshtakiwa huyo kutokuwepo kizimbani kulinga na hali yake, lakini akaiomba mahakama iweze kuendelea kusikiliza kesi hiyo hata bila yeye kuwepo kwa kuwa yeye kama mwakilishi wake alikuwepo. [20]
- bunge
- Fedha hizo zitakuwa nyongeza kwa bajeti ya matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2008/09 iliyoidhinishwa na bunge Juni mwaka jana. [21]
- cha
- Akiongozwa na mwendesha mashtaka wa serikali, Bwire alisema aliandika barua hiyo kwenda kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kuvifanyia uchunguzi vielelezo vya udongo wenye damu kwa agizo la Mkuu wa kitengo cha utambuzi wa vilelezo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mgawe. [22]
- chozi
- Chukua mfano wa huyu aliyedondosha chozi juzi. [23]
- daraja
- Na Samuel Msuya,Morogoro??WIZARA ya Miundombinu, imethibitisha kuanza kwa mchakato wa ujenzi wa daraja la Mto Kilombero, mkoani Morogoro. [24]
- dira
- Vijana mnatakiwa kuwa na dira kwa sababu serikali ina dira yake, wizara zina dira zake na mashirika yana dira zao. [25]
- es
- WAKATI mawakili wa washitakiwa wa kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini kutoka Mhahenge, Morogoro na dereva teksi wa Manzese, jijini Dar es Salaam, wakiwasilisha rasmi hoja za utetedi, mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Abdallah Zombe amesema hana kesi ya kujibu. [26]
- hadi
- Akisoma barua hiyo Bwire alisema, katika sampuli zile nne ambazo zilipewa majina ya herufi, A, B, C na D, majibu yalionesha kuwa katika kielelezo A hadi C kulikuwa na damu ya binadamu lakini makundi ya damu hiyo hayakuweza kutambulika wakati katika kielelezo D hapakuwa na damu ya binadamu. [27]
- haikuwa
- Alisema hakubaliana na bao la penalti walilopewa Simba kwani haikuwa la halali. [28]
- haina
- SERIKALI imesema haina mango wa kulipa madeni yaliyoachwa na vyama vya ushirika katika halmashauri mbalimbali, badala yake inafanya mpango wa kuziwezesha kifedha halmashauri hizo ili ziweze kukabiliana na matatizo yanayozikabili. [29]
- hajui
- Kauli hiyo ilionekana kumchanganya sana Kazim, akawa hajui la kufanya. [30]
- hakuna
- Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Jeremiah Sumari alisema kuwa Serikali ilishapanga mkakati kuwa halmashauri zinapata ruzuku kutoka Serikalini, hata hivyo hakuna sababu za msingi za kufidia madeni hayo. [31]
- halisi
- Akizungumza katika mahoajino na waandishi wa habari jana, Katibu mkuu wizara hiyo,Omari Chambo alisema kinachofanyika sasa ni kujua gharama halisi za ujenzi wa daraja hilo. [32]
- hao
- Mawakili hao walidai kuwa walikuwa na taarifa ya uchunguzi iliyoonesha kuwa sampo za udongo wenye damu zilizopelekwa kwa Mkemia Mkuu zilitoka kwenye eneo la tukio la Sinza, lakini shahidi huyo wa 22 hakuitolea ushahidi. [33]
- hapa
- Taarifa zilizopatikana hapa jana mjini Dodoma zimeeleza kuwa Juni mwaka jana bunge lilidhinisha bajeti ya serikali kwa mwaka 2008/09 jumla ya Sh7.22 trilioni na kwamba, sasa inaomba idhinishiwe Sh 53 bilioni zaidi ili bajeti yake ifikie Sh7.273 trilioni. [34]
- hapo
- Zombe ambaye alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, alitoa kauli hiyo jana nje Mahakama Kuu inakosikilizwa kesi hiyo, mbele ya waandishi wa habari na wananchi waliofurika mahakamani hapo jana kusikiliza kesi hiyo, inayogusa jamii. [35]
- haraka
- Tunaomba majibu haraka, ilisomeka sehemu ya barua hiyo. [36]
- hasa
- Akizungumzia kikao hicho, Chambo alisema kitajadili changamoto mbalimbali zinazohusu utendaji kazi za wizara hiyo na hasa matengezo ya barabara zinazojengwa kupitia Wakala wa Barabara (Tanroads). [37]
- hatua
- Katika hatua nyingine mshitakiwa wa kesi wa 11 katika kesi hiyo Rashid Lema hakuweza kupanda kizimbani kwa kuwa ni mgonjwa. [38]
- hawa
- Inaonesha wenzetu hawa wanatumiwa na wanasiasa, alidai Sheikh Ponda. [39]
- hawajui
- Kwa kweli hii kesi ni ya madai kwa sababu hata hao GTV wakati wanaanza kutoa huduma ni wazi kuwa walikuwa hawajui kama watafilisika. [40]
- hayo
- Baada ya mahojiano hayo mafupi Wakili Magafu alimtaka shahdi huyokuisoma barua hiyo. [41]
- hazina
- Inadaiwa baadhi ya asasi hazina hata ofisi wala makao yanayoeleweka na pia inadaiwa zinatumia matatizo ya watoto yatima au wale waishio katika mazingira magumu kujinufaisha. [42]
- hii
- Na hapana shaka ni kwa sababu hii ndio maana waliomba shahidi wa 22 aitwe tena ili kutoa ushahidi kuhusiana na uchunguzi wa vielelezo hivyo vinavyodaiwa kutolewa katika eneo la tukio la Sinza. [43]
- hili
- Aliongeza kuwa endapo Kikwete angetumia njia ya ushirikishwaji wa wakuu wote wa nchi wanachama wa AU katika utatuzi wa matatizo yanayolikumba bara hili, angekuwa amepiga hatua kubwa zaidi kama mwenyekiti. [44]
- hilo
- Alidai awali lifika katika eneo hilo kwa ajili ya kupiga picha yeye pamoja na timu ya upelelezi wa tukio hilo ya Polisi, lakini ambapo alikuta matundu manne ukutani yaliyodaiwa kuwa ni ya risasi lakini hakuweza kuona damu yoyote chini wala ukutani. [45]
- hivi
- Alisema hata agizo la Rais Jakaya Kikwete alilolitoa hivi karibuni jijini Dar es Salaam litakwenda sambamba na ujenzi wa barabara zingine ndani ya jiji. [46]
- hizi
- Maana, jamani, hizi kadi za biashara ni kama ibada ya dini. [47]
- hizo
- Hata hivyo shahidi Bwire alipoulizwa iwapo aliweza kupata majibu ya uchunguzi wa sampo hizo alisema hakuwahi kuyaona wala kuisoma taarifa ya matokeo ya uchunguzi huo kwa kuwa yalipelekwa moja kwa moja kwa kiongozi husika. [48]
- hospitali
- Alihangahaika kwenye hospitali nyingi bila mafanikio. [49]
- hospitalini
- Muda mfupi baadaye waziri alifika hapo hospitalini, kwani si mbali sana kutoka kwenye ofisi yake. [50]
- huko
- Na kwa bahati mbaya huko ambako tunaagiza maarifa haya, wanazalisha mapya kila siku kiasi kwamba kama hatufanyi warsha na semina tutafika mahali tutapitwa na tutaaachwa mbali. [51]
- huo
- Jaji Kiongozi wa Mahakama hiyo (Wakati huo), Salum Massati ambaye kwa sasa ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa alikubaliana na ombi la mawakili hao na hivyo kuuagiza upande wa mashitaka kumuita tena mahakamani shahidi huyo. [52]
- hupata
- Kituo hicho kina watoto yatima 178 na wajane 72 ambao wote hupata mahitaji ya malazi, mavazi na elimu katika eneo moja. [53]
- huu
- WANAFUNZI 13,800 wa darasa la saba, waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu mkoani Dar es Salaam, wameshindwa kuanza masomo kutokana na uhaba wa shule za sekondari mkoani humo. [54]
- huwa
- Wadau hao wamesema kuwa wanafunzi wengi wanaokwenda kwenye shule za binafsi na zile za mashirika ya dini wengi wao huwa hawakuchaguliwa kujiunga na masomo ya sekondari kwa shule za serikali hivyo hata uwezo wao ni mdogo hali ambayo inawafanya wapate muda wa kuandaliwa kabla ya kujiunga na kidato cha kwanza. [55]
- huyo
- Shahidi SP Bwire alilazimika kuitwa tena mahakamani hapo jana, kutoa ushahidi kwa mara ya pili, kufuatia ombi la mawakili wa watuhumiwa, kwa madai kuwa kulikuwa na utata katika ushahidi uliotolewa na shahidi huyo kuhusu sampuli za udongo wenye damu uliopelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa uchunguzi. [56]
- huyu
- Kama tuna jamii ya wahitimu wa viwango vile ambavyo mara baada ya kumaliza shule wakatoa talaka kwa vitabu na tabia ya usomaji; na kuwa, kwa mfano, mtu amesoma uchumi, lakini alipoajiriwa benki hajiendelezi tena kusoma, na hatimaye kubakiwa na ujuzi wa kuendesha benki, na kule nyumbani hana hata kamaktaba, ila CD za muziki na sinema tu, sidhani kama mtu huyu hatahitaji tena semina kumkumbusha kuhusu mabadiliko yanayojitokeza katika taaluma yake ya uchumi. [57]
- iendelee
- Meja jenerali Kalembo pia aliishauri wizara iendelee kutoa huduma bora kwa wananchi. [58]
- ikiwa
- Katika kipindi cha uongozi wake kama mwenyekiti wa Afrika, Kikwete anajiwekea rekodi nzuri ya kuweza kutatua migogoro kadhaa katika nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na Kenya, Comoro, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mafanikio kadhaa ya kutia moyo katika kutafuta suluhu nchini Burundi. [59]
- ila
- Hata mimi kuna kipindi nilishuhudia mauaji ya kinyama ya vikongwe, lakini si kusema wauaji wauawe, ila tulichofanya ni kuandaa operesheni ya kuwasaka wahalifu na kuwafikisha katika vyombo vya sheria. [60]
- ile
- Unajua, bara hili lina migogoro mingi sana, kama huna sera zako madhubuti juu ya masuala mbalimbali ni wazi kutakapo tokea shida yoyote ile utafanya mambo kwa haraka haraka tofauti na kama angekuwa na msimamo fulani basi angeweza kusuluhisha kila jambo bila shida. [61]
- ili
- Katika ushahidi wa jana, akihojiwa na Wakili Majura Magafu, shahidi SP Bwire alikiri kupokea sampuli za udongo zilizodaiwa kutoka katika eneo la tukio la Sinza, ambazo zilipekwa kwa Mkemia Mkuu wa serikali ili kuchunguzwa kama zilikuwa na damu za binadamu. [62]
- ina
- Alifafanua kuwa, jamii haiwezi kutoa maamuzi kwa hisia kwa kuwa nchi ina miongozo yake na ndio mana alitaka ufafanuzi kwa Waziri Mkuu kuhusu kauli yake, kwa kuwa ilikiuka katiba ya nchi ambayo aliapa kuilinda wakati akikabidhiwa madaraka. [63]
- ingawa
- Alisema, kutokana na upungufu wa shule za sekondari katika mkoa wa Dar es salaam, wanafunzi hao wamekwama kuanza shule kwa wakati ingawa jitihada za kuwaingiza shule zinaendelea. [64]
- juzi
- Sheikh Ponda alisema, maalbino walioandamana juzi hawakumuelewa Mohammed kwa kuwa, yeye hakupinga vita dhidi ya mauaji, bali alionyesha kosa la kikatiba na kisheria lililofanywa na Waziri Mkuu. [65]
- kabla
- Hivyo basi, kama ombi hili litafikishwa bungeni serikali itakuwa imefuata ushari huo ili matumizi ya fedha yafuate taratibu za kuidhinishwa kabla hazijaanza kutumika. [66]
- kansa
- Zaidi ya kuwa msaidizi wake, jamaa huyo albino, alikuwa ni mvumbuzi wa dawa kutibu kansa ya moyo, hata hivyo hakuwahi kumwambia Kazim. [67]
- kasi
- Alisema mikakati itakayosaidia kupunguza msongamano huo ni pamoja na mabasi yaendayo kasi na upanuzi wa barabara muhimu kama vile Sam Nujoma,barabara za Kilwa na Mandela ambazo shughuri zake zinaendelea. [68]
- kati
- Mahojiano kati ya Wakili Magafu na shahidi SP Bwire yalikuwa kama ifuatavyo. [69]
- kawaida
- Alisema kuwa kitendo cha Kampuni au Shirika kufilisika ni jambo la kawaida hivyo na polisi haina uwezo kuishitaki kampuni ya GTV kwa kuwa ilikuwa inafanya biashara bila kutarajia kama ingefilisika. [70]
- kibao
- Tunafurahi sana kuona kwamba angalau mmoja wa wale tuliowaona kuwa na roho ya korosho, ambao hawajali mateso ya wananchi ili mradi wanapata posho zao, na marupurupu kibao, na uwezo wa kufisadi wapendavyo, tunafurahi kuona kwamba angalau mmoja wao ameonyesha hali ya kuhuzunika, hata hali ya kushikwa na hasira kutokana na hali hii. [71]
- kidogo
- Alisema tayari walishakaa na uongozi wa Yanga kwa maongezi ya awali kuzungumzia suala hilo na maongezi yalionekana kuwa mazuri kidogo ndio maana wameamua kuwaandikia barua rasmi kuhusu suala hilo. [72]
- kijana
- Ndiyo maana wakitumia mwavuli wa Bunge Kivuli la Vijana ambalo lilifanyika hivi karibuni Dar es Salaam wanafunzi nao walijadili nafasi, wajibu na fursa ya kila kijana kushiriki katika uboreshwaji wa elimu nchini. [73]
- kikao
- Sumari alisema Serikali kupitia kikao chake cha Baraza la Mawaziri kilichokutana mjini Dodoma Agosti 12, 2005 ilikubali kuanza utekelezaji wa mpango wa mageuzi na uendeshaji wa kisasa wa ushirika nchini na kwamba masuala ya madeni ,yalijifuta tangu wakati huo. [74]
- kila
- Hata hivyo pamoja na hayo, Profesa Baregu alisema katika kipindi hicho, rais Kikwete hakuwa na agenda moja kwa bara la Afrika jambo ambalo limefanya kuwa na maamuzi ya zima moto kila kunapotokea tatizo. [75]
- kile
- Wiki iliyopita GTV imesitisha huduma zake nchini na maeneo mengine duniani kwa kile kilichoelezwa kuwa mgogoro wa kifedha unaoifanya kampuni hiyo ishindwe kutoa huduma kikamilifu. [76]
- kilimo
- Zile zitakazopelekwa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika zitagharimia pembejeo za kilimo. [77]
- kina
- Nyingine ni TPDC, Mbezi (Morogoro road-Malamba mawili-Kinyelezi-Banana, Jet mwisho,Tangi bovu-Goba, Kimara Baruti-Msewe- Changanyikeni na barabara ya Kimara Kirungule-External (Mandela) ambazo alisema kuwa zote ziko katika hatua mbalimbali za usanifu wa kina kwa ajili ya kuanza ujenzi. [78]
- kinyama
- Aliongeza kuwa Pinda si wa kwanza kushuhudia mauaji ya kinyama na wala waliomtanguliwa hawakutoa maamuzi kama hayo ya kukiuka katiba ya nchi. [79]
- kuahidi
- Jax akizungumza mara baada ya kukabidhiwa baiskeli hizo alipongeza Vodacom kwa msaada huo na kuahidi timu hiyo itakwenda Kenya kufanya vizuri. [80]
- kubaki
- Tunasikitika wanafunzi hao watalazimika kubaki nyumbani kutokana na ufinyu wa nafasi zilizopo kwa sasa,alisema Makali. [81]
- kucheza
- Timu tatu kati ya timu tisa zitakazoshiriki michuano hiyo ya ligi daraja la kwanza zitapanda daraja na kucheza Ligi Kuu ya Tanzania Bara. [82]
- kudai
- Unajua watu wengi wanajua haki zao lakini wanashindwa kujua njia za kuzipata na hivyo kuamua kutumia vurugu kudai haki hizo," anafafanua. [83]
- kufa
- Wakati wanaendelea kuangalia ile picha aliingia daktari aliyekuwa akimwangalia Kazim na kumwomba waziri afupishe mazungumzo, badala yake wamsake yule mvumbuzi wa dawa kwani isingepita saa 12 kabla ya Kazim kufa ikiwa hatapata ile dawa. [84]
- kufika
- Nickobay ni Shahidi wa 32 katika kesi hiyo ambaye katika ushahidi wake alisema aliwahi kufika katika eneo la tukio la ukuta wa Sinza mara mbili baada ya tukio la mauaji ya wafanyabiashara hao. [85]
- kufundishia
- Sababu kubwa ni kuwa kule kwenye taasisi zetu hakuna vifaa vya kufundishia, wala wataalamu na muda wa kutosha wa kuweza kujifundisha mambo haya. [86]
- kuishi
- Siku moja usiku akiwa nyumbani alitafakari sana hali ngumu ya maisha ambayo angeanza kuishi. [87]
- kule
- Je, wataalamu wetu kule shuleni wanakwenda sambamba, katika mafunzo yao, na mabadiliko haya katika masoko ya bidhaa ya TEHAMA? Ninachosema hapa ni kuwa kama nchi yetu, kama zilivyo nchi nyingi za dunia ya tatu, haitajiingiza katika uzalishaji wa maarifa na elimu kwa matumizi ya wananchi wake, na kuwa taasisi za elimu vikawa vitovu vya maarifa mapya ili wahitimu wetu watoke wakiwa sio tu washika vyeti, bali wazalishaji elimu na maarifa mapya, huenda tunaweza kupunguza utegemezi wa nje na kupunguza mahitaji ya warsha kwa ajili ya wataalamu wetu. [88]
- kumbe
- Maelezo haya ya askari huyu, yalinishangaza, sikutegemea kusikia kwamba kumbe mauaji haya yanaendelea kuwepo kutokana na uzembe wa watendaji wetu kusimamia majukumu yao. [89]
- kupingwa
- Mambo kama hayo na mengineyo ndiyo yanayoibuliwa na kupingwa kwa nguvu zote katika siku ya wanawake duniani. [90]
- kusoma
- Alisema hatua hiyo itawasaidia wazazi wao kupata amani na muda wa kufanya kazi badala ya kuwalinda na wao pia watapata muda wa kusoma kwa amani na hatimaye kufaulu vizuri kama watoto wengine. [91]
- kutokuwa
- Naye kocha Charles Kilinda wa JKT Ruvu amemlalakia mwamuzi wa mchezo huo Othman Kazi kwa kutokuwa makini na kuonyesha upendeleo zaidi kwa Simba. [92]
- kuu
- Vituko vilitawala kwenye lango kuu huku viongozi wa Simba wakuzia magari yote kuingia kwenye geti hilo kwa madai kuwa walikuwa nafanya mambo yao na kusababisha usumbufu kwa mashabiki waliofikia uwanjani hapo na magari. [93]
- kuua
- Ni suala la kawaida kuua albino na damu zao au viungo vyao tunavitumia kwenye shughuli hizo za uchimbaji madini na uvuvi, watu wengi wanafanya hivyo. [94]
- kwanini
- Kama walikuwa wanajua wamefilisika, kwanini walichukua fedha zetu. [95]
- la
- Kauli hiyo ya Zombe ilikuja muda mfupi baada ya shahidi wa 22 (PW 22) katika kesi hiyo, Mrakibu wa Polisi (SP), Juma Bwire, ambaye ni Mtaalamu wa Uchunguzi wa silaha na milipuko kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, kumaliza kutoa ushahidi wake kwa mara ya pili. [96]
- labda
- Baba alikuwa na wasiwasi kwamba labda mwanaye angemdharau lakini mimi nilimcheka. [97]
- lake
- NIANZE kwa kusema kuwa mimi naungana na Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda kuhusu katazo lake la warsha, semina, kongamano, mafunzo, semina elekezi na majina mengine mengi yenye kusudio moja kama lengo lake ni kudhibiti matumizi yasiyo ya faida ya fedha za wavuja jasho. [98]
- lao
- Kwa ujumla hali hiyo inatafsiriwa kuwa huenda nguvu ya polisi katika kukabiliana na wahalifu imeshuka au wahalifu sasa wamepata mbinu na nguvu mpya na lengo lao ni kudhoofisha jeshi la polisi ili waendelee kutishia maisha ya raia wapendavyo. [99]
- lenye
- Aidha alisema, akiwa bungeni mjini Dodoma ameandika mchanganuo/azimio ambalo anatarajia kuliwasilisha kwa Spika Samuel Sitta jana jioni, lenye mambo manne makubwa ya kuboresha mkakati na juhudi ya kudhibiti mauaji yao. [100]
- leo
- Kesi hiyo iliahirishwa hadi leo itakapoendelea tana mahakamani hapo ambapo upande wa utetezi utatoa hoja zao. [101]
- letu
- Pia shule inawapa nafasi hata wale watoto ambao sio yatima tuna unafuu wa ada kwani lengo letu si biashara ila kuwapatia elimu watoto wote wa Kitanzania bila kubagua wakoje na wanaishije," amesisitiza Mbele. [102]
- licha
- Baiskeli hizo zenye thamani ya zaidi ya milioni 1.8 ni washindi wa mashindano ya Mwanza Cycle Challenge 2008 ambao ni Hamis Hussein, Manga Ezekiel na Richard Laizer na licha ya kupewa baiskeli hizo pia Vodacom inadhamini kambi yao mjini hapa. [103]
- ligi
- Katibu mkuu wa Mwanza United, Everist Agila alisema kuwa usimamizi mzuri wa TFF ndio utakao saidia kupatikana kwa timu tatu bora zitakazo panda daraja bila ya kuwa na utata kama zilivyokuwa ligi zilizopita. [104]
- lini
- Alikuwa akijibu swali la Charles Keenja (Ubungo CCM) aliyetaka kujua ni nini kinasababisha kero ya msongamano wa magari katika barabara ya Ubungo na nini ufumbuzi wa jambo hili na lini. [105]
- lugha
- Mafunzo hayo yalilenga kuwapa stadi wanafunzi hao wayazoee mazingira na lugha ya kufundishia kabla ya kuanza mafunzo kamili ambayo masomo yote isipokuwa Kiswahili na mawasiliano ya kila siku ni kwa Kiingereza. [106]
- maeneo
- Alisema kazi ya awali, ikiwemo michoro tayari imekwishanza sambamba na kuwekwa kwa alama katika maeneo husika. [107]
- magumu
- Maximo alisema kuwa mashindano hayo yatakuwa magumu sana kwa sababu kwani kunatimu ambazo zinajulikana katika ulimwengu wa soka kama Senegal na Ivory Coast. [108]
- maiti
- Baba mmoja akaniambia mtoto wake akamshtukiza akilia mbele ya luninga kwa kuona maelfu ya maiti yaliyorundikana. [109]
- makala
- Lakini wanapohitimu, nawahakikishia wasomaji wa makala, wanafunzi wote kama sio wengi, watakuwa hawawezi kufanya hivyo. [110]
- makao
- Mkutano huo umeandaliwa na sekretarieti ya EAFCA yenye makao yake makuu Kampala nchini Uganda, kwa kushiriana na wanachama wake. [111]
- mapya
- Tunapozungumia ongezeko la warsha, semina na kadhalika tujiulize kama mfumo wetu wa elimu una uwezo wa kuzalisha maarifa mapya. [112]
- masharti
- Lakini inasikitisha kuona hata baada ya kupunguza masharti ya kujiunga na ualimu kuna mbumbumbu na matapeli wa elimu wanaotumia sifa za wengine kuwa walimu. [113]
- mawaziri
- Lakini kwa nini tatizo hili la mauaji ya albino kuuawa limeshindikana kudhibitiwa? Mimi nadhani watendaji wa serikali kwa maana ya mawaziri, ndio wanapaswa kulaumiwa kwa kushindwa kudhibiti mauaji haya. [114]
- mdogo
- Pia huficha ukweli kuwa uwezo wa walimu wengi ni mdogo na hufanya kazi katika mazingira magumu. [115]
- miaka
- Alisema katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, wizara imepiga hatua kubwa katika kuboresha barabara na kwamba ni vizuri hali hiyo ikaendelezwa. [116]
- miezi
- Anasema kuwa serikali imetoa mwongozo wa miezi mitatu ya mwanzo pindi wanafunzi wanapojiunga na kidato cha kwanza kufundishwa kozi ya Kiingireza hivyo kama shule hizo zitatumia nafasi hiyo vizuri basi muda huo utasaidia kuwaandaa wanafunzi hao kufahamu lugha hiyo badala ya kutumia mwaka mzima kwa ajili ya mafunzo ya awali. [117]
- migomo
- Mdoe aliwashukia wanafunzi wanaoabudu migomo na maandamano ya mara kwa mara akiitaja kuwa ni miongoni mwa mambo yanayokwamisha dhamira iliyopo ya kuboresha hali ya elimu kwa vijana nchini. [118]
- mimi
- Nadhani ndugu zangu hawakunielewa na wala hawakuelewa nini taifa linasema, kwa hiyo hata waandamane usiku na mchana nchi nzima mimi sina wasiwasi kwa kuwa nasimamia katiba na sheria, alisema Mohammed. [119]
- minne
- Baadaye utaratibu huo ulibadilika mafunzo yakawa yanatolewa kwa kipindi cha mwaka mzima kabla ya mwanafunzi kuanza rasmi kuhesabu miaka minne ya kuwa sekondari kwa ajili ya kidato cha kwanza hadi cha nne. [120]
- mipango
- Keenja pia alitaka kujua mipango ya Serikali kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam hususani kwenye makutano ya barabara za katikati ya Jiji. [121]
- mkubwa
- Nao washindi hao walipongeza Vodacom kwa msaada huo na kuahidi watarejea nchini na ushindi mkubwa. [122]
- mmoja
- WASOMI na wataalam wa masuala ya siasa nchini wamesema kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Tanzania kama mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) chini ya Rais Jakaya Kikwete ulikuwa na mafanikio kadhaa. [123]
- mno
- Kazi aliaribu kabisa pambano lile na kuwachanganya wachezaji wangu wakashindwa kucheza kwa kiwango chao, maana alitoa kadi nyingi mno akisema faulo, lakini zinapotokea golini kwa Simba hakupiga filimbi za kuonyesha faulo," alisema Kilinda. [124]
- mrefu
- NDOTO ya Mtanzania, Respicius Baitwa, wa mjini Moshi kwenda kupanda mlima Aconcagua wa Argentina ambao ni mrefu kuliko yote Amerika Kusini imeyeyuka baada ya kuzuiwa Uwanja wa ndege nchini Kenya. [125]
- msaidizi
- Jamaa huyo ambaye alikuwa kama msaidizi wake wa karibu, alikuwa akimuwakilisha katika kazi mbalimbali na ndiye aliyekuwa ana siri zake nyingi. [126]
- mujibu
- Kwa mujibu wa taarifa ya serikali kwa bunge, fedha hizo za EPA zikiidhinishwa, Sh3 bilioni zitapelekwa Hazina, Sh10 bilioni Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Sh40 bilioni Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika. [127]
- mumewe
- Mkewe Kazim, hajui chochote kuhusu mumewe kuua albino; ni mwanamke ambaye anafanya kazi ofisi ya usalama wa taifa na zaidi ya yote anaijua vizuri sheria. [128]
- mwa
- Kuhusu masuala ya uchumi, mtaalamu wa uchumi kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, Dk Haji Semboja alisema Kikwete alijitahidi kwa kadiri alivyoweza kutumia vyombo vya AU, kama vile Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (Sadc) kuhakikisha kuwa anafuatilia kwa karibu kila hatua ya mabadiliko ya uchumi yanayotkea duniani. [129]
- mwamuzi
- KOCHA Mkuu wa JKT Ruvu, Charles Kilinda amesema, mwamuzi Othman Kazi, hakuchezesha kwa kiwango kinachotakiwa mechi ya Jkt Ruvu na Simba na alidhamiria kuwatafutia Simba goli kwa muda mrefu. [130]
- mwezi
- Kwa matokeo hayo Simba imebaki kwenye nafasi ya pili na pointi zake 24 huku Yanga akiwa kileleni na pointi zake 39 wakati ligi inapoingia kwenye mapumziko leo hadi Marchi 14 kupisha maandalizi ya Taifa Stars kwaajili fainali za mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) yatakayoanza kutimu vumbi baadaye mwezi huu. [131]
- mzazi
- Watoto yatima yaani wasio na baba na mama na waishio katika mazingira magumu hulipiwa gharama zote na asasi hiyo wakati wale wenye mzazi mmoja hupata punguzo. [132]
- nao
- Kwa mujibu wa Makali mkoa wa Dar es Salaam umefanya tena uchaguzi kwa wanafunzi 25,045 kwa ajili ya awamu ya pili lakini nao hawajapatiwa shule za kwenda kuanza masomo. [133]
- naye
- Kitenga, mtu mwenye umri wa makamo na umbile la kawaida sana tu, mcheshi usoni na mkarimu moyoni kabla na hata baada ya kujitumbukiza katika ujambazi jina lake lilijulikana kwa wachache hususani kwa sisi tuliyesoma naye darasa moja katika shule ya msingi Mwembesongo mwaka 1976 na kuhitimu 1982, hata hivyo wengi wa wanafunzi hao ambao sasa ni watu wazima walishamsahau na hiyo ilitokana na Kitenga kuacha shule akiwa darasa la kwanza tu na kuingia mitaani kujitafutia riziki. [134]
- ndiye
- Kwa mujibu wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 1995, mhitimu wa elimu ya sekondari ya kawaida (kidato cha IV) mwenye ufaulu wa daraja la III ndiye atachukua mafunzo ya miaka miwili ya ualimu. [135]
- ngapi
- Wanaonibisha, waniambie wameangalia kweli kadi ngapi katika hizo alizopewa katika miezi sita iliyopita. [136]
- ngozi
- KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani bungeni, Hamad Rashid Mohammed amesema hata kama watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) wataandamana nchi nzima, hana wasiwasi kwa kuwa hoja yake bungeni juu ya kauli ya Waziri Mkuu kuhusu kuwaua wanaowaua, aliitoa ili kusimamia katiba na sheria za nchi. [137]
- nia
- Serikali imebaini kuwa utaratibu huo umebuniwa na unatumiwa na shule zisizo za serikali kwa nia ya kujipatia fedha. [138]
- niwe
- Lakini wangapi wameonyesha nia ya kwenda kuona hawa wahanga wenyewe na kutafuta usuluhisho? Nakumbuka msemo mmoja wa hayati Trevor Huddleston aliyekuwa mstari wa mbele kupinga ubaguzi wa rangi 'bora niwe na damu mkononi kuliko maji kama Pilato'. 'Una maana gani?' 'Namaanisha hivyo. [139]
- ofisi
- Kutokana na hali hiyo wateja wengi nchini wamekuwa wakijazana nje ya ofisi za kampuni hiyo zilizopo jijini Dar es Salaam, wakitaka kurudishiwa fedha zao baada ya kukosa huduma huku kukiwa na tetesi kuwa wahusika wote walishaondoka nchini. [140]
- one
- HALIKUWA jambo la ajabu kukuta baadhi ya shule za sekondari za binafsi na za dini zikitoa mafunzo ya awali ya sekondari kwa wanafunzi wake maarufu kwa Kiingereza kama Pre form one. [141]
- pale
- Ninafundisha pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kozi ambazo mwanafunzi anatakiwa kujua kupiga picha za video, kuhariri habari au picha kwa ajili ya televisheni au redio; kuchanganya rangi kwa ajili ya maigizo ya jukwaani, sinema au televisheni, aweze kupiga picha za analogi na za "digital", waweze kutengeneza sinema au vipindi vya redio, au waweze kutengeneza kurasa za tovuti na kusanifu kurasa za magazeti. [142]
- pia
- Akizungumza kwa njia ya simu, Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala, Profesa Mwesiga Baregu alisema kuwa kipindi cha uongozi wa Kikwete kilikuwa na mafanikio na pia kilikuwa na mambo kadhaa ambayo hakuweza kuyatekeleza kama kiongozi. [143]
- raia
- Matukio yanaonyesha jinsi vibaka walivyo na ujasiri wa kupamba askari polisi hadi kufikia hatua ya kuwavamia na kuwajeruhi makamanda jeshi hilo lenye dhamana ya kulinda amani kwa raia. [144]
- roho
- Wanaume wa kweli tutamwelewaje? Narudia kusema, mwanasiasa anapaswa kuwa na roho ngumu kama jabali ya Mwanza. [145]
- saa
- Barua hiyo ilieleza kuwa mnano Januari 14 mwaka 2006 saa 12.30 jioni yalitokea mauaji ya watu wanne waliodhaniwa kuwa ni majambazi na kwamba, katika eneo la tukio umechukuliwa sampuli ya udongo wenye damua. [146]
- salaam
- Afisa Elimu wa mkoa wa Dar es salaam, Benard Makali, aliliambia gazeti hili jana kuwa wanafunzi hao ni miungoni mwa wanafunzi 22,822 ambayo ni asilimia 48 ya wanafunzi waliochaguliwa kuanza kidato cha mwaka mwaka huu. [147]
- sawa
- Imekuwa vizuri mechi zote za ligi hii kuchezwa Dar es Salaam, hivyo nadhani TFF itakuwa makini zaidi kuhakikisha mambo yote yanakwenda sawa,"alisema Agila. [148]
- sekta
- Waziri Mkuu wa Bunge hilo lililoshirikisha vijana kutoka vyuo na shule mbalimbali za Dar es Salaam, Christopher Mdoe anasema, kuingia kwa siasa katika sekta ya elimu kumechangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa ubora wa elimu nchini na akaiomba serikali na wanasiasa kuacha mchezo wa kuingiza siasa shuleni. [149]
- shida
- Baada ya kesi kuahirishwa Lema aliotolewa mahabusu na kutembea kwa shida huku akiwa ameshikiliwa na washtakiwa wenzake wawili hadi ndani ya gari tayari kwa safari ya kurejea mahabusu katika Gereza la Keko. [150]
- si
- Upande wa utetezi kupitia katika maswali yao ya utetezi waliyokuwa wakiwauliza baadhi ya mashahidi, wamekuwa wakionesha kuwa na msimamo kwamba kulikuwa na majibizano ya risasi katika eneo la Ukuta wa Posta na kwamba, ndiko mauaji ya wafanyabiasha hao yalikotokea na si katika msitu wa pande. [151]
- sifa
- BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), tangu mwaka jana lilianzisha kampeni kamambe za kuwabaini na kuwachukulia hatua wanafunzi wote wanaotumia sifa au vyeti vya watu wengine kupata elimu au taaluma. [152]
- sio
- Alikunwa na vijana hao kwa kuonesha kivitendo dira waliyonayo kwa kujikusanya kupitia Bunge Kivuli la Vijana ambalo linawapa njia ya kujiandaa kuja kuwa viongozi wa kuzitumikia jamii zao sio kwa cheo tu bali kwa kazi. [153]
- sisi
- Hata hivyo, sisi hatuamini kwamba, jeshi la polisi limezidiwa nguvu na wahalifu hao, kwani baada ya tukio la kumjeruhi OCD Majjid walifanya msako mkali na kufanikiwa kwakamata vijana ambao mmoja wao alikutwa na saa yake. [154]
- siyo
- Serikali itambue kuwa mpango wa mafunzo ya awali ya sekondari ulilenga kuwaandaa wanafunzi wanaotoka shule za msingi ambazo Kiingereza siyo lugha ya mawasiliano na hii inazingatia kuwa lugha hiyo ndiyo inayotumika sekondari kwa masomo yote isipokuwa Kiswahili," anasisitiza. [155]
- somo
- Pia shule ina kompyuta 30 kwa ajili ya kufundisha somo la teknolojia ya habari na mawasiliano. [156]
- tabia
- Awali akifungua Bunge hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Karimjee, Kamishna Mkuu wa Wizara ya Elimu, Charles Philemon aliwaeleza vijana kuwa ili jamii iweze kupata viongozi mahiri, wenye maarifa na waliokomaa ni lazima vijana wajenge tabia ya kujisomea kwa lengo la kujenga uwezo wa kupambanua mambo. [157]
- tajiri
- Huku akiendelea na kazi Kazim alikuwa ni mtu tajiri kwa muda mfupi mno. [158]
- tangu
- Alisema tofauti na Kikwete, Gadaf anaonekana ni mtu mwenye msimamo na ambaye ana agenda yake juu ya bara hili tangu zamani. [159]
- tatu
- KAMPUNI ya Simu ya Vodacom imekabidhi baiskeli tatu kwa waendesha Baiskeli watatu kwa ajili ya kushiriki mashindano ya kimataifa ya Baiskeli kwa nchi za Afrika ya Mashariki ambayo yatafanyika Februari nane Nairobi, Kenya. [160]
- tu
- Ikiwa kauli ya Pinda ingefanya kazi kwa kumuua aliyetuhumiwa kumua albino ni wangapi wangeuawa? Je, sheria ndivyo inavyotaka? Au ukiwekewa kidole cha albino nyumbani mwako, halafu ukauliwa, huyo aliyekuua ana uhakika gani kuwa na yeye siku moja hatauliwa na ndugu zako? Kwa hiyo tungetengeneza msururu wa mauaji kwa jazba tu, alisema Mohammed. [161]
- uamuzi
- Hivi sasa uamuzi huo wa serikali unajadiliwa. [162]
- ujumla
- Alisema kampuni hiyo imewadhamini waendesha baiskeli hao kama sehemu ya mchango wake katika maendeleo ya michezo na jamii kwa ujumla wake. [163]
- uko
- Sasa Kazim ujue kwamba uko chini ya ulinzi, kwa sababu ni mgonjwa sana tutakufunga pindu hapa wakati tunaangalia namna ya kukufanyia, uko chini ya ulinzi, alisema mkuu wa jeshi la polisi ambaye alionekana kusononeka sana kwa kifo cha yule mvumbuzi wa dawa. [164]
- una
- Alidai Bageni alimsifia kwa kuweza kuona damu hiyo wakati wengine waliowahi kufika hapo na hawakuwa wameiona na ndipo wakachukua sampuli za udongo huo ili ukafanyiwe uchunguzi na mkemia mkuu wa seriali kujua kama una damu ya binadamu au ya mnyama. [165]
- uso
- Wasichana wangapi wamelazimika kukutana na nduli Ukimwi uso kwa uso kwa sababu baba zao na mama zao wamekosa kazi kutokana na hali ya uchumi iliyosababishwa na walaji wakuu? Nyumba ngapi zimevunjwa kutokana na hilo? Maisha ya Watanzania mamilioni kwa mamilioni yametishwa na kuharibiwa na vitendo vya ukatili. [166]
- utafiti
- Alisema Kanda ya Tanzania ina wanachama 22, ambao ni Bodi ya kahawa Tanzania (TCB), Kituo cha utafiti wa zao la kahawa (TACRI), Tanzania Coffee Curing, Chama kikuu cha Ushirika cha mkoa wa Kilimanjaro (KNCU), na Chama cha ushirika cha Kagera Coperative Union. [167]
- utoro
- Mikakati mingine ya wilaya ni kudhibiti utoro wa wanafunzi ili kuhakikisha wanafunzi wote wanafika na kuingia darasani na pia kuhakikisha wanaoandikishwa darasa la kwanza wanamaliza darasa la saba. [168]
- uwanja
- Mtanzania huyo ambaye ameshapanda mlima Kilimanjaro mara 80 na mlima Elbrus katika bara la Ulaya, alizuiwa katika uwanja wa Jomo Kenyata nchini Kenya Alhamisi iliyopita na maofisa wa uwanja huo. [169]
- vema
- Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Musa Hassani Mgosi alitumia vema nafasi hiyo kwa kufunga bao la kusawazisha kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya 65 ya mchezo. [170]
- vifaa
- Hukimbilia dawa hiyo kama njia ya kuficha udhaifu wa serikali yenyewe kushawishi ujenzi wa shule nyingi bila walimu wa kutosha na vifaa. [171]
- vipi
- Huku sasa ni kuzinguana, kumbe hata mawaziri nao huwa wanakuwa wasanii, inawezekanaje niwasiliane na wewe nikiwa nje ya nchi uniambia yuko mvumbuzi wa dawa ya kuponya tatizo langu halafu sasa aniambie hajui atampata vipi, huu ni uhuni, alijisemea Kazim akiwa mwenye hasira na kuwaza kuwa kama asingempa dawa hiyo angefanya mpango wa kumuua kwa sababu naye alikuwa albino. [172]
- vita
- Kuhusu nini alichofanya katika vita ya mauaji ya albino kama alivyoulizwa katika mabango ya waandamanaji hao, Mohammed alisema chama chake cha Wananchi (CUF) kiliandaa maandamano makubwa mwaka jana kupinga na kulaani mauaji ya albino nchini. [173]
- vitabu
- Pamoja na uchanga huo shule imekamilika kwa maana kuna maabara kwa ajili ya kuwezesha wanafunzi kujifunza masomo ya sayansi bila matatizo na kuna maktaba inayotoa fursa wanafunzi kusoma vitabu vya ziada. [174]
- vituo
- Mbele anatoa ushauri kwa serikali iangalie uwezekano wa kuvipatia ruzuku vituo ambavyo vinashughulikia kuwasomesha watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu hapa nchini ili watoto wengi zaidi wasikose haki hiyo ya msingi maishani. [175]
- vizuri
- Alisema baada ya azimio hilo kuwasilisha kwa Spika, litafikishwa kwa wabunge kwa ajili ya kujadiliwa kama litapita itakuwa vizuri. [176]
- vumbi
- Ligi hiyo inatarajia kuanza kutimua vumbi hivi karibuni baada ya kusimama kwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ambapo michezo yote itakuwa ikipigwa jiji Dar es Salaam. [177]
- vyake
- Kweli wale watu walimuua yule albino na kwenda na viungo vyake kwenye maeneo ya biashara. [178]
- vyao
- Juhudi hizo za Baraza zimeendelea kuzaa matunda kwani walimu 14 waliokuwa katika shule mbalimbali za msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Vijijini wamefukuzwa kazi baada ya kubainika wamefanya udanganyifu katika vyeti vyao vya kuhitimu elimu ya sekondari. [179]
- wale
- Hii ina maana kwamba walimu hao 14 na hata wale 800 walikosa sifa hiyo badala yake wakaamua kutumia vyeti vya wenzao walioko kazini au shule nyingine au waliofariki. [180]
- walio
- SHIRIKISHO la Soka Tanzania, TFF, jana lilituma barua katika klabu ya Yanga ya kuwaombea wachezaji walio katika timu ya taifa kutokwenda Comoro katika mechi yao ya marudiano itakayochezwa Februari 15 nchini humo. [181]
- wao
- Katika mapendekezi yake pia anaitaka serikali iwachukuwe watoto wote ambao ni maalbino nchini na kuwapeleka katika shule mbalimbali za bweni na iwahakikishie usalama wao kwa kutoa ulinzi ili wasome kwa amani. [182]
- wapate
- Ninachowashauri wateja wa GTV ni kujikusanya na kwenda kufungua kesi ya madai mahakamani ili wapate haki zao," alisema. [183]
- wapi
- Mwananchi ilishuhudia kundi la wateja wakiwa hawajui waende wapi huku wengine wakiwa wamekata tamaa na kubaki kwenye magari yao wasijue la kufanya, huku wengi wanadai wamelipia na kukatishiwa huduma ghafla. [184]
- wasio
- Pili inawahudumia wajane na tatu imejenga Shule ya Sekondari ya Tushikamane kwa ajili ya watoto inaowalea na wengine wasio yatima. [185]
- wateja
- JESHI la Polisi nchini limewataka wateja wanaoidai Kampuni inayotoa huduma ya Televisheni kwa kulipia (GTV), kufungua kesi ya madai mahakamani ili walipwe fedha zao. [186]
- waweze
- Aidha, Mkurugenzi huyo alitoa wito kwa wananchi wa Tanzania kuzalisha kahawa bora ili waweze kuhimili ushindani katika soko la dunia. [187]
- wewe
- Je, wewe kijana wa Tanzania una dira gani? Na unatumia juhudi gani ili kufikia dira hiyo?" alihoji na kuongeza kuwa serikali inatambua umuhimu na mchango wa vijana katika nchi kwa kuwapa nafasi ya kujadili na kuhoji mambo yanayoendelea ndani na nje ya nchi. [188]
- wiki
- JANA gazeti hili lichapisha habari kuhusu Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Moshi (OCD), mkoani Kilimanjaro, Kibawana Majjid kuvamiwa na kujeruhiwa vibaya na vibaka alipokuwa akikagua ulinzi wa doria saa 3.00 wiki iliyopita. [189]
- yake
- Lema alifikishwa mahakamani hapo, lakini hakupandishwa kizimbani badala yake alibaki katika mahabusu akipumzika. [190]
- yana
- Wakati huohuo Katibu Mkuu wa kutetea haki za Waislaam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda alidai maandamano yanayofanyika sasa yana mkono na nguvu ya wanasiasa. [191]
- yangu
- Tiketi yangu ya ndege ilikuwa inapitia London, Unigereza, Miami, Marekani, Santiago, Chile hadi Mendoza Argentina na nilikuwa na Viza ya Argentina nikijua Marekani na Uingereza nilikuwa napita tuîalidai. [192]
- yetu
- Dai lao kuu, kama ilivyo kwa wazazi na wadau wa elimu nchini ni kwamba mfumo wa elimu yetu una upungufu mkubwa kuanzia ngazi ya utungaji sera, mitaala inayotumika hadi usimamizi kisekta. [193]
- yuko
- Katibu mkuu huyo, yuko mjini hapa kushiriki katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Miundombinu. [194]
- zaidi
- Aliieleza zaidi mahakama kuwa mara ya pili alikwenda hapo akiwa na mshitakiwa wa pili katika kesi hiyo SP, Christopher Bageni na kwamba, wakati huo aliweza kuona matundu sita ukutani pamoja na damu kwenye mchanga. [195]
- zake
- Jitihada zake zilikuwa kubwa na kwa kweli tumeona jinsi alivyofanikiwa kutatua baadhi ya migogoro kwa kushiriki moja kwa moja kama mwenyekiti, mfano mzuri ni mgogoro ulioikumba nchi ya Kenya, alisema Profesa Baregu. [196]
- zetu
- Pia tunashirikiana na mashirika, serikali na hata watu mbalimbali binafsi kulaani na kupinga mauaji ya ndugu zetu hao, alifahamisha. [197]
- ziada
- Mmoja wa wateja hao alitaka kuingia ndani kinguvu, lakini mlinzi huyo ilibidi afanya kazi ya ziada kumwondoa na kubakia kuzozana. [198]
- ziko
- Kesi nyingi za mauaji haya ziko mahakamani zinasuasua haziendi kwa madai kuwa ushahidi haujakamilika. [199]
- zote
- Mengine ni kwa Jaji Mkuu Agostino Ramadhan kuunda Mahakama maalum itakayoshughulikia kesi zote za mauaji ya kikatili kwa albino na vikongwe kwa haraka na ufanisi mzuri. [200]