Mtumiaji:Robert Ullmann/Mwananchi/2009-02-01

Mwananchi, Dar es Salaam, http://www.mwananchi.co.tz


aaah
Yaani niue albino ndio niwe tajiri, aaah hapana sitaki kuwa kwenye orodha ya wauaji, kama ni umaskini acha niwe, hata kama watu watasema nimeporomoka sawa tu,” alijisemea Kazim. [1]
acha
Kama hii hapa chini We Makengeza, Wewe ni mwanamume au la? Kama ni mwanamume, acha kutoa viliovilio vyako vya kipuuzi kila siku maana naona unaanza kuwaambukiza hata wengine. [2]
aende
Kuna baadhi na wataalam kule alikokwenda kuhangaika walimshauri labda aende nje ya nchi. [3]
aina
Balozi wa Misri nchini, Wael Nasr, amethibitisha taarifa hizo akisema kuwa, "Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, mara kadhaa amekataa kupokea aina yoyote ya msaada kutoka Misri kwa muda mrefu sasa. [4]
akawa
Mchizi kabla ya kuingia biznes kubwa kama za kuwa na butiki hivi, ..alikuwa mtu wa mishen'tauni, lakini mara mbili tatu hivi akawa kadakwa na ma'afande, akatia akili, akaanza kuuza mitumba, ndio mambo yakaenda, ..mdogo mdogo mpaka kapata butiki. [5]
albamu
Muba alisema ya kwamba albamu ipo kwenye maadalizi makubwa kwakuwa mpaka sasa bado nyimbo nne ili kuweza kuikamilisha, anatarajia kuizindua siku ya Valentine. [6]
alidakia
Mwishiwa mwingine alidakia. [7]
alifika
Muda mfupi baadaye waziri alifika hapo hospitalini, kwani si mbali sana kutoka kwenye ofisi yake. [8]
alikosea
Unafikiri mtu anaweza kutengeneza machozi kama wengine wanavyodai kutengeneza maji kiwandani?' 'Lakini alikosea katika matamshi yake. [9]
alisoma
Siku moja baada ya kukutana na jamaa huyo alisoma taarifa kwenye gazeti moja kwamba kuna biashara kubwa ya kununua viungo vya albino kwa ajili ya machimbo ya madini na biashara ya uvuvi. [10]
ama
Kujitokeza kwa kiongozi huyo kunaongeza mvutano miongoni mwa viongozi na makundi yenye mtazamo tofauti kuhusu suala la ama Mkapa afikishwe mahakamani au asifikishwe. [11]
amani
Mwaka 1917 kwa mara ya kwanza siku ya wanawake duniani iliadhimishwa Machi 8, siku hiyo wanawake waliandamana kwa madai ya kutaka ëamani na mkate,í kwa kuwa kulikuwa na vita hakukuwa na amani, hivyo hata upatikanaji wa chakula ulikuwa wa shida. [12]
ana
Akizungumza na Mwananchi, Mr II, alisema makundi mengi yanaundwa katika vijiwe na msanii anaweza kujipachika tu cheo aidha kwa sababu ni mbabe au kwa kuwa ana kipaji cha kuimba kuliko wengine au pengine yeye anaonekana kuwa na mvuto zaidi kwa mashabiki wa kundi hilo. [13]
angalia
Hebu angalia kadi za wenyewe. [14]
au
Kiongozi huyo aliyewania urais wa Zanzibar mara tatu bila mafanikio, alikuwa anazungumzia kauli ya Kikwete akiwa ziarani kisiwani Pemba kuwa, wapinzani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) itawachukua muda mrefu kupata nafasi ya kuongoza nchi hiyo au wanaweza wasiipate kabisa. [15]
baada
Alisema kwamba, tangu mapema alijenga wasiwasi na uwezo wa utendaji wa Rais Kikwete na kumbatiza jina la msanii na alipata matumaini mapya baada ya hotuba yake ya kwanza kuahidi kushughulikia matatizo ya Zanzibar. [16]
bado
Lakini inavyoonekana bado 'bundi' hajakubali kuiachia nchi hiyo. [17]
bahati
Akafunga ofisi hizo za kuziweka kwenye majengo yake ambayo kwa bahati mbaya yalikuwa nje ya mji. [18]
bali
Na tunaagiza kwamba hili chozi lisiwe mchezo bali liwe mwanzo wa kufagia makatili wote wanaoharibu nchi yetu tufuku popote walipo. [19]
band
Ndiko kazi kubwa inakokwenda kufanyika, litapigwa live la kufa mtu huku watu maarufu, pamoja na wengi wa nyadhifa mbali mbali wakiwa wanaiangalia, shoo ya kwanza itakuwa ni maalum kwa mashabiki, kama shukrani kwa kijana, kwa kumvumilia na kuendelea kuwa shabiki wa Top band. [20]
baya
Akizungumza katika mahojiano maalum na Mwananchi Jumapili, nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam, Dk Juma Ngasongwa yeye ni mmoja wa watu ambaye naona jambo baya sana kusema Mkapa ashitakiwe. [21]
biznes
Yaani kwa kuwa washkaji zake wengi mademu, kutokana na biznes anayofanya. [22]
bongo
MUASISI wa muziki wa bongo fleva nchini, Joseph Mbilinyi 'Mr. [23]
chacha
Nilikuwa nafanya muziki huku nasoma, na bendi yangu ya kwanza ilikuwa nikilimanjaro chacha bendi, ambayo nilianza kuimba mwaka 1961" anafafanuwa Gurumo. [24]
cheo
Kamanda wa Polisi mkoani Ruvuma, Michael Kamuhanda alisema, Ngwenya ni mwajiriwa wa kampuni hiyo inayonunua na kukoboa kahawa mwenye cheo cha Meneja mwangalizi wa mitambo ya kukoboa kahawa. [25]
chochote
Ila tu sijasikia kadi ya kaka wala kadi ya dada dada kwa hiyo nitawaachia wanaharakati wa vijana wanishambulie badala yake maana, kama kawaida, hawajaambulia chochote. [26]
chozi
Chukua mfano wa huyu aliyedondosha chozi juzi. [27]
d'or
TIMU pekee yenye kipa mzungu Afrika Mashariki na kikosi ghali zaidi nchini na makocha watatu wa kigeni, leo inashuka kwenye uwanja wa Taifa kuivaa Etoile d'or ya Comorro katika msimu mpya wa Ligi ya Mabingwa Afrika. [28]
duni
Ugonjwa huo ni matokeo ya miundombinu duni, mfano upatikanaji wa maji safi na salama unapokuwa si wa uhakika ugonjwa huu humeenea kwa haraka zaidi tofauti na sehemu zenye miundombinu bora. [29]
es
Taarifa za kiuchunguzi kutoka ndani ya ubalozi huo jijini Dar es Salaam zinaeleza kuwa, wakati vifaa hivyo vimekaa kwa zaidi ya miaka mitatu, dawa zimemaliza miezi saba ofisini hapo vikisubiri idhini ya Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. [30]
fainali
WAKATI timu ya Tanzania Taifa Stars inatangazwa kesho tayari kwa michuano ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani, CHAN, Senegal imepanga kucheza mechi tatu za kirafiki kabla ya fainali hizo. [31]
haina
Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Nsachris Mwamwaja alisema wizara yake haina taarifa zozote kuhusu dawa na vifaa hivyo. [32]
hajui
Kauli hiyo ilionekana kumchanganya sana Kazim, akawa hajui la kufanya. [33]
hana
Wana unaambiwa wanaenda kwa washua TRA kumchoma kwamba, kamchekini yule, mzee wa magumashi, huenda akawa hana leseni. [34]
hao
Zipo shule nyingi lakini wazazi wanapaswa kutambua zipi ni shule bora, shule nyingi zinasifiwa kwa kufundisha masomo ya sayansi hisabati na Kiingereza, lakini kama watoto hao watakosa kitu kinachoitwa maadili mema watatumia ujuzi huo kulihujumu taifa na nchi itakuwa katika hali mbaya zaidi," alisema Pengo. [35]
hapa
Baadaye Pengo alihudhuria katika uzinduzi wa shule ya awali na msingi ya Libermann na kuwataka wazazi wote hapa nchini kujenga utamaduni wa kuwaandalia maisha ya baadaye watoto wao kwa kuwapeleka shule. [36]
hapana
Ila, sisi waishiwa tunamwomba, hapana hatuombi, tunamwagiza aendelee kutoa chozi la huzuni, chozi la hasira, kwa Watanzania wote wengine wanaonyanyaswa kutokana na vitendo vya wenzake 'Sema Mwishiwa Supu, sema. [37]
hasa
Taarifa za mikoa yenye upungufu wa mvua zinaongezeka, hasa ukanda wa kati. [38]
hawa
Na kuna kauzu watakuja kukuletea kwamba Ooh, f'lani kasema hivi, hawa pia usiwape chansi, watakupotezea taimu yako wakati dili zinakusubiri kitaa. [39]
hawana
Hawa wengine hawana serikali. [40]
hayo
Alisema uchunguzi wa kwanza uliotokana na kamera za polisi unaonyesha kuwa, dereva wa daladala ndiye chanzo cha ajali hiyo kutokana na kushindwa kufuata sheria za barabarani, zilizomtaka kusimama kwanza katika makutano hayo kuruhusu magari mengine yaliyokuwa katika barabara nyingine. [41]
hii
Tunashirikiana vizuri na wizara zote kama vile ya kilimo, maji na umwagiliaji lakini hii ya Afya haipo tayari kushirikiana nasi," alisema Balozi Nasr. [42]
hilo
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Aisha Kigoda alipotafutwa kutoa ufafanuzi alisema wizara yake haifahamu lolote kuhusu suala hilo. [43]
hivi
Alisema Wazanzibari hivi sasa wanaishi katika lindi la umasikini na viongozi waliopo madarakani kazi yao kubwa ni kukusanya mapato ya serikali na kutumia kwa maslahi yao binafsi, huku wakiacha wananchi wakiteseka. [44]
hivyo
Alisema hivi sasa Zanzibar wananchi wanakabiliwa na tatizo kubwa la ufisadi wa ardhi, lakini Rais Kikwete ameshindwa kukemea vitendo hivyo licha ya kuwa ni tatizo kubwa hivi sasa kwa Unguja na Pemba. [45]
hofu
Alifafanua kuwa taarifa hiyo itatoa sura kamili kwa serikali kuhusu hali ilivyo na hatua za kuchukua kukabiliana na tatizo hilo huku akisema serikali yake inalikabili kwa ukamilifu tatizo hilo na kuwaomba wananchi kutokuwa na hofu. [46]
huo
Viongozi wa Tanzania Bara wapo katika mkakati wa Mwalimu Julius Nyerere wa kuitokomeza Zanzibar, tunamwambia Kikwete kachelewa Wazanzibari hatugawiki tena ng'o tena namwambia akome akome akome kutuletea fitna katika nchi yetu, afanye chokochoko huko huko bara," alisema Maalim Seif huku akishangiliwa na umati wa watu waliohudhuria mkutano huo. [47]
huu
Akizungumza kwa njia ya Simu kutoka wilayani Geita kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Jamal Rwambow alisema kuwa tukio hilo limetokea Januari 31 mwaka huu majira ya saa 7.15 usiku huko katika Msitu Bugulula uliopo karibu na mgodi wa Geita (GGM) uliopo wilayani Geita mkoani hapa. [48]
huwa
Unajua madra huwa tunafundishwa mambo mengi ikiwemo kuimba, kwa hiyo mimi ndiko hasa nilipo jifunzia mambo ya muziki" anasema Gurumo Lakini mbali na Madrasa Gurumo anasema, muziki nikipaji alichorithi kutoka kwa mama yake mzazi ambaye alikuwa mwimbaji wa ngoma za asili. [49]
huyu
Msani huyu mkongwe wa muziki wa dansi anasema kuwa alianza muziki akiwa bado kijana mdogo, akiwa ni mwanafunzi wa chuo cha elimu ya kiisimu (madrasa). [50]
ikiwa
Yanga imeifunga Etoile d’Or Mirontsy ya Comoro mabao 8-1 ikiwa ni rekodi ya aina yake katika historia ya klabu hiyo, kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, mchezo huo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. [51]
iko
Kocha wa Khalij Sert, Abdul Hafid alisema kuwa timu yake iko vizuri na wanataraji kushinda na kujiweka katika mazingira mazuri kwa mchezo wa marudiano. [52]
ila
Mzee tumekuja, hali ya biashara ni mbaya sana, yaani kila kukicha ni mikosi tupu hata hatujui tufanye nini, ila tunasikia kuna mtindo umezuka siku hizi watu wanaua albino, viungo vyao vinaweza kutusaidia kupata fedha tutakapokwenda kwa mganga wa jadi” alisema na kupingwa vikali na Kazim. [53]
ile
Unajua ile ni high way (barabara kuu), hivyo dereva wa daladala alitakiwa kusimama, ili kuruhusu gari hilo kupita kwanza ndipo aendelea na safari yake, lakini dereva huyo hakufanya hivyo hali iliyosababisha kutokea kwa ajali hiyo," alisema Kamanda Shilogile. [54]
ili
Ametoa wito wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuidhinisha misaada hiyo ili kusaidia kuokoa maisha ya Watanzania, na kuboresha afya zao. [55]
ilivyo
Aliongeza kutokana na hali hiyo Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika inaendelea na tathmini ya kina ya hali ya upatikanaji wa chakula nchini ilivyo sasa. [56]
imara
Tutasimama imara lengo ni kuipeperusha vema bendera ya Tanzania, tunaelewa mechi ni ngumu lakini hatutakata tamaa,' alisema. [57]
ina
Kamanda alisema Kampuni hiyo, ina mitambo 16 ya kukoboa kahawa ambayo ipo katika vijiji vya Litembo, Linda, Mihindo, Mikaranga, Ukuli na Nyoni Makolo. [58]
ishu
Jamaa anauza duka la pamba za kidemu, mademu ndo' wateja wake, basi wana kila wakimuona ameibuka kiwanja, labda mademu wawili watatu wanaibuka kumpa hai, wanaanza kusambaza ishu kwamba, ...mchizi kicheche kwa sana nini. [59]
iwe
Wazanzibari wamepokea ujumbe wake, lakini tunaamini anataka mikono yake iwe na damu kama Rais Mkapa alivyoondoka na damu mikononi, lakini Wazanzibari tunakusubiri njoo, tulikuamini kwa kauli yako ya kushughulikia mpasuko wa kisiasa, lakini sasa tumekufahamu tunakwambia njoo," alirudia kusema Maalim Seif huku akishangiliwa. [60]
jazi
Gurumo alikaa kilimanjaro chacha bendi kwa takribani miaka mitatu ambapo mwaka 1963 alijiunga na kilwa jazi, ambapo alikaa kwa mwaka mmoja. [61]
juu
Napenda kuwaambia wananchi sasa rangi sahihi ya Rais Kikwete inakuja juu, lakini tunamueleza kuwa ngoma itakavyopigwa ndivyo tutakavyocheza," alisema Maalim Seif na kuongeza kuwa Wazanzibari wamechoshwa na matatizo ya kisiasa. [62]
juzi
Alisema, Ngwenya kwa nyakati tofauti, kati ya Novemba 12 mwaka juzi, na Agosti 19 mwaka jana, alichukua fedha kutoka Makao Makuu ya kampuni kwenda kwenye mitambo iliyoko vijijini, akidai anapeleka kuwalipa wafanyakazi, pamoja na kununua baadhi ya vifaa kwenye mitambo hiyo, lakini imegundulika kuwa fedha hizo hazikufika kwa walengwa. [63]
kabla
Kamanda Shilogile alisema dereva wa daladala anashikiliwa na polisi baada ya kubainika kuwa ndiye chanzo cha ajali hiyo na uchunguzi unaendelea kabla ya kumfikisha kwenye vyombo vya sheria. [64]
kadi
Maana, jamani, hizi kadi za biashara ni kama ibada ya dini. [65]
kali
Baada ya kusubiri kwa kipindi kirefu sana, na zoezi kali la kufa mtu kufanywa katikati ya kitongoji kilichobeba jina la wilaya, hatimaye ngoma uwanjani leo, watu wanatarajia kupata mambo ambayo walikata tamaa kabisa kuyapata. [66]
kansa
Zaidi ya kuwa msaidizi wake, jamaa huyo albino, alikuwa ni mvumbuzi wa dawa kutibu kansa ya moyo, hata hivyo hakuwahi kumwambia Kazim. [67]
kati
Alibainisha kuwa walifikisha taarifa wizarani mara saba kuhusu dawa na vifaa hivyo, tatu kati ya hizo akiwasilisha mwenyewe hata hivyo, katika hali ya kushangaza alikataa bila kutoa maelezo. [68]
kikao
Kuhusu Umoja wa Afrika (AU) Rais Kikwete ambaye anamaliza muda wake wa uenyekiti wa umoja huo, alisema anamshukuru Mungu kwa kutumikia AU kwa mafanikio mbalimbali na kwamba, katika kikao anachohudhuria wakati huu alifanikiwa kuishawishi AU kujadili miundombinu ya umoja huo kwa kutambua umuhimu wa uwepo wa umoja wa mataifa ya Afrika. [69]
kikosi
Hata hivyo, katika kikosi chake atakachotangaza, hakutarajiwi sura mpya nyingi kwa kuwa wachezaji walioifikisha timu hiyo fainali, wamepata uzoefu wa muda mrefu. [70]
kila
Rais Kikwete alisema, "Tutamwendeleza kila mtu kwa sababu dhamana ya maendeleo ni yetu katika serikali. [71]
kile
Alisema kundi lolote likitaka mafanikio ni vema likawa na uongozi makini kwa kuwa na watu kama meneja ambaye anaweza kuwajibika vyema kwa kundi ikiwa ni pamoja na kutafuta masoko na kuandaa programu yote ya kundi, mwanamuziki kwa kile wanachotarajia kukifanya kwa wakati uliopo na ujao. [72]
kimoja
Sasa kuna kitu kimoja hapa ambacho wapenzi wa muziki wa kizazi kipya lazima tukubaliane kwamba ile Top Band ya Aboubakar Shaaban Katwila au Q Chief kama mlivyozoea kumuita wengi, na Khaleed Mohamed ikarudi, ile yenye songi kali kama Nilikataa, Bhoke, Chumbani na nyingine nyingi. [73]
kina
Kamanda alisema polisi wanaendelea kufanya upelelezi wa kina, na kwamba utakapokamilika, Ngwenya atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya wizi wa fedha za mwajiri wake. [74]
kisha
UNAWEZA kusema ndiyo demokrasia ya Afrika-kubishania uchaguzi kisha kugawana madaraka. [75]
kona
Yanga iliyozitumia dakika 10 kufunga mabao matano, ilihesabu bao la nne lililofungwa na Ndhlovu baada ya kutokea sekeseke kufuatia kona ya Abdi Kassim katika dakika ya 74 na dakika moja baadaye Tegete aliziona nyavu za Wacomoro baada ya kupata pasi ya chini ya Vincent Barnabas aliyeingia badala ya Kigi Makassi. [76]
kote
Duniani kote kabla ya kijana huyo albino kugundua hiyo dawa, ilikuwa inajulikana kuwa ukiwa na kansa ya moyo hakuna dawa ni kifo tu. [77]
kuandika
Wachezaji wa Prisons ya Bara ambayo kesho ipo kazi wamesema kesho watakuwa kwenye wakati mgumu wa kutaka kurekebisha makosa yao katika Ligi hiyo na kuandika historia mpya. [78]
kubuni
Yaani albino ndio umesema ana dawa, aaah haiwezikani!!!. Viungo vyao vinatumiwa kwenye biashara, pia wana akili za kubuni dawa za kutibu tatizo baya kama hili,” alijisemea na kujipa matumaini kuwa tatizo lake sasa linaelekea kumalizika. [79]
kuchezwa
Mechi ya mwisho ya timu hiyo imepangwa kuchezwa Februari 18 dhidi ya Libya mjini Tripoli, na baada ya mechi hiyo, timu hiyo itakwenda moja kwa moja, Ivory Coast. [80]
kudai
Wanawake walitambua kuwa kuwapo kwa vita duniani wao na watoto ndio wanaoathirika zaidi na hivyo wanaopigana watambue kwamba kuna watu wanaoathirika zaidi na vita, ikawabidi waandamane kudai kukomeshwa hiyo vita ya duniani. [81]
kufa
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycap Kardinali Pengo amenusurika kufa baada ya gari alililokuwa akisafiria kugongana na daladala katika eneo la makutano ya barabara ya Azikiwe na Samora jijini Dar es Salaam jana. [82]
kufika
Kamanda Rwambow alisema kuwa baada ya kufika katika eneo hilo walinzi wa GGM walizuia gari lililokuwa na askari na dereva wa halmashauri kuzuia na askari polisi kutoka ndani ya gari na kwenda kujitambulisha kwa walinzi wa GGM kuwa yeye ni Askari na alikuwa akitokea Nyawilimilwa. [83]
kuja
Tumeweka kiingilio kidogo katika mchezo huu ili kuwashawi mashabiki kuja kwa wingi kuishangilia timu yao ili iweze kufanya vizuri na kuibuka na ushindi,"alisema Kaijage. [84]
kujipa
Alisema: "Kutokana na hayo, basi anaamua kujipa cheo yeye kitu ambacho wanamuziki wengine katika kundi wanakubali lakini kwa shingo upande kwa sababu wanakuwa hawana njia ya kuzuia au kukataa. [85]
kujua
Tujadili mambo ya maana ya kujikomboa na kujua haki za zetu za msingi, sio kuongea ya fulani, kwakuwa ni dhahiri hayakusaidii. [86]
kuku
Sasa wote wako ikulu wanakula kuku. [87]
kula
Alisema kuwa baada ya kurikodi singo hiyo ya Umasikini watajianda kurikodi video za singo hizo mbili za Umasikini na Giza na kwamba wapenzi wakae mkao wa kula kusubiri video hizo. [88]
kule
Tangu alipokuwa katika shindano la BSS Aboubakar Mzuri alikuwa akiota kuimba mpaka kufikia kiwango cha Q Chief, umeona bwana, na kwa kweli akiimba huyu mtoto, kuanzia sura yake sauti na hata kule kunata na sauti yake kama uko nje ya ukumbi waweza sema mtoto wa kibondei Q Chief anaimba ndani huko, na ukiingia utamkuta kijana ambaye ghafla waweza sema, ..labda mdogo wake wanavyoshabihiana. [89]
kumaliza
Akihutubia katika mkutano huo mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba alisema CUF imesikitishwa na kauli ya Rais Kikwete kwa vile inakwenda kinyume na ahadi yake ya kumaliza mpasuko wa kisiasa wa Zanzibar. [90]
kumuua
Ndio akaona ni bora awapigie simu wale jamaa zake na kuangalia ni namna gani wanaweza kumuua albino ili waendelee na biashara ile ya madini na uvuvi wa samaki. [91]
kuna
Aliongeza kwamba huwezi kujiongoza mwenyewe kwa kila kitu kwani kuna watu wapo wana uzoefu na wamesomea utawala na wanajua utawala wa makundi ya muziki jinsi unavyotakiwa. [92]
kundi
Akizungumza na Mwandishi wetu juzi, kiongozi wa kundi hilo, Michael Mwenda 'XB' alisema kuwa singo yao wameipa jina la umasikini. [93]
kupiga
Kipindi cha pili kilianza kwa Yanga kufanya mabadiliko, ilimwingiza Jerry Tegete badala ya Mwalala ambaye naye alifunga bao katika dakika ya 53 baada ya kazi nzuri ya Nurdin Bakari aliyepanda na kupiga mpira uliogonga mabeki kabla ya kumkuta mfungaji. [94]
kupinga
Wakati huo siku hiyo ilikuwa ikiadhimishwa kwa maandamano makubwa ya kupinga udhalilishaji wa kijinsia. [95]
kupingwa
Mambo kama hayo na mengineyo ndiyo yanayoibuliwa na kupingwa kwa nguvu zote katika siku ya wanawake duniani. [96]
kusaka
Mwanasiasa anapaswa kuwa chizi ya kusaka michuzi siyo kuwa mpuuzi wa kutoa chozi mbele ya kadamnasi. [97]
kusikia
Maelezo haya ya askari huyu, yalinishangaza, sikutegemea kusikia kwamba kumbe mauaji haya yanaendelea kuwepo kutokana na uzembe wa watendaji wetu kusimamia majukumu yao. [98]
kusimamia
Tumaini pekee la wananchi wa Zimbabwe ni serikali imara itakayoweza kusimamia mambo mbalimbali yaliyoyumba kwenye nchi yao kwa muda mrefu sasa. [99]
kutia
RAIS Jakaya Kikwete amesema hali ya mvua inazidi kutia mashaka na kuashiria huenda kukawa na tatizo kubwa la chakula kwa mwaka huu. [100]
kuua
Suala la Mwangunga limeibuka siku moja baada ya Waziri Mkuu, Pinda kulia na kuliomba radhi Bunge kwa kitendo chake cha kuvunja katiba ya nchi kwa kuagiza wanaokamatwa kwa kuua albino nao wauawe pale pale badala ya kufikishwa mahakamani. [101]
kweli
Tunamshukuru Kikwete kwa kuweka mambo wazi kwa vile sasa katudanganya basi tena, kwa vile wanasema wao ndio wanaoamua na rais atateuliwa na yeye nashukuru ametupa muda wa kuweza kujipanga, tena kujipanga kweli kweli, tumechoka na bakora za CCM," alisema mwenyekiti huyo huku akishangiliwa. [102]
la
Pichani ni mtumbwi ujulikanao kwa jina la' Mv Mtala'la ukiwa umesheheni watu na mizigo. [103]
lake
Kitenga, mtu mwenye umri wa makamo na umbile la kawaida sana tu, mcheshi usoni na mkarimu moyoni kabla na hata baada ya kujitumbukiza katika ujambazi jina lake lilijulikana kwa wachache hususani kwa sisi tuliyesoma naye darasa moja katika shule ya msingi Mwembesongo mwaka 1976 na kuhitimu 1982, hata hivyo wengi wa wanafunzi hao ambao sasa ni watu wazima walishamsahau na hiyo ilitokana na Kitenga kuacha shule akiwa darasa la kwanza tu na kuingia mitaani kujitafutia riziki. [104]
lao
Alisema kuwa watu wote duniani, hata marais wote wana matatizo mengi akitolea mfano waliokuwa marais wa Marekani Jimmy Carter na Bill Clinton ambao pamoja na makosa yao dhahiri hawakushtakiwa kutokana na heshima na kutambua thamani ya mambo waliotendea taifa lao. [105]
lazima
Yeye ni binadamu na binadamu lazima atakuwa na makosa tu, hakuna binadamu aliyekuwa kamili. [106]
leo
BAADA ya Yanga kupambana na Etoile d'Or Mirontsy ya Comoro katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Prisons ya Mbeya itashuka kwenye Uwanja wa Taifa leo kucheza na Khalij Sert katika mechi ya kuwania Kombe la Shirikisho. [107]
live
Vitu live, sauti mwanana na vitu kibao vya kushangaza. [108]
maana
Kocha wa Yanga, Dusan Kondic alisema kuwa timu yake imecheza vizuri ndiyo maana imeshinda lakini akasema kipindi cha kwanza walicheza vibaya. [109]
madini
Kweli walifanya hivyo, wiki moja baadaye walirudi, Kazim akawa amekubali kwamba angependa kufanya biashara zote mbili yaani ya uvuvi na uchimbaji madini. [110]
maeneo
Alisema hakuna kinachoshindikana kudhibiti mauaji haya, kama makamanda wa polisi wa mikoa wataweka mikakati vyema katika maeneo yao. [111]
maiti
Baba mmoja akaniambia mtoto wake akamshtukiza akilia mbele ya luninga kwa kuona maelfu ya maiti yaliyorundikana. [112]
makali
Alisema katika kikao hicho, pia litajadilisha suala la mashabiki wa Yanga kuwafanyia ghasia kwa kuwapiga wachezaji wa Mtibwa Sugar na kuwasababishia maumivu makali. [113]
makuu
Kikwete alitoa kauli hiyo alipohutubia wananchi kupitia vyombo vya habari katika utaratibu wake wa kawaida wa kila mwisho wa mwezi kutokea Makao makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa Ethiopia, anapohudhuria Mkutano wa Kawaida wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja huo. [114]
mauaji
Kamanda Rwambow alisema kuwa walinzi hao watatu wanashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani hapa wakituhumiwa kwa mauaji hayo. [115]
mawaziri
Lakini kwa nini tatizo hili la mauaji ya albino kuuawa limeshindikana kudhibitiwa? Mimi nadhani watendaji wa serikali kwa maana ya mawaziri, ndio wanapaswa kulaumiwa kwa kushindwa kudhibiti mauaji haya. [116]
mbele
Tsvangirai amekubali kuapishwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo na kuunda serikali ya mseto mbele ya viongozi 15 wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na baada hatua hiyo iliyosubiriwa kwa hamu kubwa, yeye na Rais Mugabe wataunda serikali ya mseto. [117]
mema
Alisema wazazi wanapaswa kuchagua shule zinazotoa elimu bora inayoambatana na maadili mema kwa kuwa elimu siyo kupata ujuzi pekee. [118]
mfupi
Huku akiendelea na kazi Kazim alikuwa ni mtu tajiri kwa muda mfupi mno. [119]
mgodi
WALINZI wa Group Four Security waliokuwa wakilinda kwenye mgodi wa Geita, (GGM) wamemuua askari polisi na dereva wa halmashauri ya wilaya ya Geita kwa kuwapiga risasi ya kichwani na tumboni. [120]
mgumu
Miembeni ambayo mwaka jana haikufanya vizuri leo itakuwa na mtihani mgumu, lakini inapewa nafasi kubwa ya kuanza vizuri kutokana na muundo wa kikosi cha sasa ambacho kimesheheni vijana kama ilivyo kwa wenzao wa Mundu ambayo wachezaji wake hawana uzoefu wowote kimataifa. [121]
mguu
Unakutana na mtu aliyekatwa mguu au mkono. [122]
mji
Tanzania itafungua dimba la michuano hiyo, siku 20 zijazo dhidi ya Senegal kwenye mji wa Abidjan. [123]
mkewe
Wakati huo mkewe Kazim alikuwa pembeni akiangalia. [124]
mkubwa
Asili ya siku hiyo ni kupigania haki za wanawake na imeendelea kuadhimishwa kuwa ni siku ya wanawake duniani kwa kuwakumbuka wanawake waliotoa mchango mkubwa wa kimaendeleo, wanawake waliopambana na mfumo dume bila woga, wanawake waliosimamia misingi ya amani, umoja na upendo. [125]
mno
Pili kama waziri katika mkutano wake na makamanda hao wageamua kutoa kiasi fulani cha pesa kwa mtu atakayefanikisha kukamatwa kwa wauaji au waganga wa kienyeji, naamini wote wangenaswa kirahisi mno. [126]
msaidizi
Jamaa huyo ambaye alikuwa kama msaidizi wake wa karibu, alikuwa akimuwakilisha katika kazi mbalimbali na ndiye aliyekuwa ana siri zake nyingi. [127]
msamaha
Suala la msamaha si baya katika maisha ya binadamu. [128]
mumewe
Mkewe Kazim, hajui chochote kuhusu mumewe kuua albino; ni mwanamke ambaye anafanya kazi ofisi ya usalama wa taifa na zaidi ya yote anaijua vizuri sheria. [129]
mwanzo
Tangu mwanzo hatukuiunga mkono serikali hii, tunataka Mugabe aondoke madarakani na uitishwe uchaguzi mpya kwa kuwa hakuingia madarakani kihalali," alisema Biti. [130]
mzuri
Lakini hatudhani kama ni utamaduni mzuri kutumika katika masuala ya uongozi wa nchi yetu, yaani mtu anafanya makosa kwa makusudi, anakiri na kuomba radhi anasamehewa. [131]
nami
Ndugu yangu nakupa pole sana, yaani ni bora ungewasiliana nami kabla ya kwenda huko, kwani ukweli ni kwamba dawa imegunduliwa nchini na jamaa mmoja tena ni albino, rudi wahi mapema usipoteze muda wako huko,” alimsisitizia. [132]
nani
Sisi tunasimama katika mstari wa sheria za nchi na kanuni za Bunge, tukiamini kuwa kanuni na sheria hizo zilitungwa ili zitekelezwe kama zilivyo, bila kuangalia nani kakosea wala mazingira ya makosa yenyewe. [133]
nao
Akizungumzia mechi na Al Ahly, mabingwa wa Afrika, Kondic alisema kuwa anafurahi kukutana nao na hata hivyo alisema watajiandaa kwa nguvu zote waweze kushinda mchezo huo. [134]
naye
Wacomoro walionana vema katika dakika ya 20, Mikdad Daoud alitoa pande kwa Aboubakar Ally ambaye naye aliwatoka Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Maftah na kumvuta Juma Kaseja aliyetoka langoni na kusawazisha bao hilo. [135]
ndio
Sisi ndio wenye dhamana ya serikali na wala hatubagui. [136]
ndo
Mada yetu ya leo inahusiana na aina hii ya demokrasia-huko Zimbabwe mambo ndo yameiva yanasubiri kupakuliwa. [137]
ndugu
Alisema kuwa siku ya tukio Askari huyo na Dereva wa halmashauri ambao wamefariki (ambaye hakuwataja majina kutokana na ndugu zao kutoharifiwa) wakiwa na askari mgambo wawili walikuwa kwenye gari STG 6302 Toyota Hilux mali ya Halamshauri ya wilaya ya Geita, walikuwa wakitokea katika kijiji cha Nyawilimilwa ambako kulikuwa na tukio la uhalifu. [138]
ngapi
Wanaonibisha, waniambie wameangalia kweli kadi ngapi katika hizo alizopewa katika miezi sita iliyopita. [139]
ngozi
Najua na mimi sitaki watu wavamiwe na kuuawa kama wenzetu wenye ulemavu wa ngozi wanavyouawa . Lazima sheria ifanye kazi. [140]
ngumu
Hau alisema wanajua mechi walibya itakuwa ngumu lakini hata hivyo, watahakikisha wanajipanga kutetea jahazi la tanzania. [141]
nia
Katika siku za karibuni viongozi wa dini na wanasiasa wamekuwa wakijitokeza na kila mmoja kutoa msimamo wake kuhusu suala hilo ambalo pia linagonga vichwani mwa wabunge huku baadhi wakionyesha nia ya kutaka kuwasilisha bungeni hoja binafsi kutaka kiongozi huyo wa taifa hili katika awamu ya pili anaondolewa kinga na kufikishwa mahakamani. [142]
niwe
Lakini wangapi wameonyesha nia ya kwenda kuona hawa wahanga wenyewe na kutafuta usuluhisho? Nakumbuka msemo mmoja wa hayati Trevor Huddleston aliyekuwa mstari wa mbele kupinga ubaguzi wa rangi 'bora niwe na damu mkononi kuliko maji kama Pilato'.’ 'Una maana gani?' 'Namaanisha hivyo. [143]
njama
Kitendo cha askari yule kumpiga mumewe na muda mfupi baadaye kukara roho, kilimfanya aamini kuwa kama vile kuna njama za kumuua zilifanyika. [144]
nyuma
Alisema kwamba viongozi wa CCM Tanzania Bara wamekuwa na utamaduni wa kuwagawa Wazanzibari kwa malengo ya kurudisha nyuma maendeleo ya Zanzibar na kuididimiza kisiasa na kiuchumi. [145]
pepe
Nadhani sasa itabidi nifute anwani pepe yangu. [146]
picha
Uchunguzi wa awali wa polisi umebaini kuwa, Ngwenya akiwa msimamizi mkuu wa mitambo hiyo, Desemba mwaka jana aliingia kwenye kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Ruvuma, ambapo alichaguliwa kuwa Mwenyekiti, jambo ambalo linaleta picha kuwa fedha hizo huenda zilitumika kwenye shughuli za kampeni ya uchaguzi," alisema. [147]
rais
Alisema kauli ya Rais Kikwete kuwa Wazanzibari wana haki ya kuchagua madiwani, wawakilishi na wabunge, lakini hawana haki ya kumchagua rais ni kauli inayokwenda kinyume na misingi ya demokrasia na utawala bora. [148]
redio
Kipaji siku zote hakijifichi,ingawa sikuwa nafikiria kuwa muimbaji hata siku moja lakini niliamua kufanya kitu fulani ili kuweza kuangalia kama kweli watu wanayoniambia,nashukuru Mungu kwamba niliweza kutengeneza wimbo wangu wa kwanza 'Brenda' lakini sikuweza kuupeleka redio sikuwa najiamini kiivyo,nakiri hilo" Alisema Muba. [149]
roho
Wanaume wa kweli tutamwelewaje? Narudia kusema, mwanasiasa anapaswa kuwa na roho ngumu kama jabali ya Mwanza. [150]
rudi
Mimi sikatai, kupeana kadi kwaweza kusaidia lakini nadhani kila mtu anajua kwamba asilimia 90 au zaidi ya hizi kadi ama zitatupwa ama zitakusanya vumbi miaka nenda rudi kwenye kona ya ofisi au chumba. [151]
saa
Habari zilizopatikana jana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile zinaeleza kuwa gari hilo lilipata ajali hiyo saa 1:00 asubuhi wakati Pengo alipokuwa akitokea Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph. [152]
sawa
Alibainisha kuwa mpango wa bei shirikishi ulipoanza thamani ya dola moja ya Makerani ilikuwa sawa na Sh 1,018 za Tanzania, lakini sasa dola moja inakaribia Sh 1,140 za Tanzania. [153]
sekta
Nchini Kenya sekta ya mafuta imekumbwa na msukosuko hivi karibuni baada ya kampuni ya mafuta ya Triton ambayo imeisababishia serikali hasara ya mabilioni ya shilingi. [154]
shosti
Leo mwezi unatimia shosti ushajiuliza umefanya nini cha maana? Au wewe ni kati ya wale wanaoka chobiso kuchunguza ya watu wakati yakwao yanawashinda. [155]
si
Aliongeza kuwa wizara tayari ilipokea dawa kutoka ubalozi huo na kufafanua kuwa,"Tulipokea dawa kutoka Misri na si' vifaa, hivyo habari hizo si za kweli, nashangaa kama ni balozi amelalamika badala ya kutuletea si'si taarifa. [156]
sifa
Ngasongwa ambaye ni Mbunge wa Ulanga Magharibi kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi (CCM) alisema Mkapa amelifanyia taifa mambo mengi makubwa yenye sifa na heshima kuliko makosa ambayo baadhi ya watu wanamtuhumu kuyafanya. [157]
sijui
Ndio ndugu, mimi naitwa Kazim ni mwenye mgodi wa madini ya almasi kule Mwadui, tatizo ni kwamba hali kwa sasa imekuwa mbaya mno, nimechanganyikiwa hapa hata sijui la kufanya,” alisema akiomba ushauri. [158]
sio
Alisema kwamba, Wazanzibari hawapo tayari kuona umoja wa kitaifa ukivurugwa kwa kisingizio cha mapinduzi, kwa vile mapinduzi ya Zanzibar yalifanikishwa na Wazanzibari wenyewe na ndio wanaopaswa kuyalinda na sio yeye Kikwete. [159]
sisi
Sisi kama wizara hatuna taarifa yoyote ya kitu kama hicho, naomba tu nendeni mkalete uthibitisho na sisi tutakwenda kuzichukua hizo dawa," alisema Mwamwaja. [160]
soka
Nestory alisema pamoja na kuwa na majeruhi kadhaa pamoja na kupoteza mechi za Ligi Kuu mfululizo, hilo si kipimo kwani soka hubadirika wakati wowote. [161]
tabia
Matundu 37 ya risasi yalihesabika mwilini mwa maiti ya Kitenga ili pia iwe fundisho kwa wote wenye tabia kama za Kitenga. [162]
tiketi
Mmoja wa wabunge aliyeonyesha wazi dhamira yake ya kutaka kuwasilisha bungeni hoja ya kutaka Mkapa aondolewe kinga na kushitakiwa, ni Aloyce Kimaro wa Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). [163]
tu
Kazi ya wabunge wao na wawakilishi wao ni kufoka tu. [164]
tuhuma
IDADI ya watu wanaomtetea Rais Mstaafu Benjamin Mkapa asifikishwe mahakamani kwa tuhuma zozote za makosa aliyofanya alipokuwa madarakani kama rais wa Tanzania imeongezeka baada ya Waziri wa zamani katika serikali yake kujitokeza na kusema anapinga hatua hiyo. [165]
udume
Waishiwa wengine waliodumaa na udume wao walimlaani pia msaliti wa udume. [166]
ugonjwa
Alisema kuwa marehemu ambaye alizaliwa Desemba 31, mwaka 1934, alikuwa akisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kisukari, lakini hali ilikuwa mbaya zaidi ilipofika Desemba 13 mwaka jana. [167]
ujumla
Pia baadhi ya benki, ndiye aliyekuwa akitumika kwenda kuchukua fedha, kwa ujumla alitokea kumuamini sana. [168]
umri
Ngurumo ambaye pamamoja na umri wake kwa sasa kuwa ni takiribani miaka 69 lakini ukweli wa mambo awapo jukwaani utadhani nikijana tena wa miaka 30, kutokana na umahiri wake wa kuimba. [169]
upatikanaji
Hali ya upatikanaji wa mvua nchini inazidi kutia mashaka. [170]
upya
Ni Top Band Jumamosi hii inajimwaga uwanjani, kukuletea songi mpya na zile ulizozizoea, huku ikiwa imesukwa upya na kuwekwa vionjo ambavyo vitakusababisha wewe na wenzio wawili watatu kutothubutu kuiulizia ilipo itakapofika siku ya wikiendi. [171]
uso
Wasichana wangapi wamelazimika kukutana na nduli Ukimwi uso kwa uso kwa sababu baba zao na mama zao wamekosa kazi kutokana na hali ya uchumi iliyosababishwa na walaji wakuu? Nyumba ngapi zimevunjwa kutokana na hilo? Maisha ya Watanzania mamilioni kwa mamilioni yametishwa na kuharibiwa na vitendo vya ukatili. [172]
vema
Baada ya bao hilo, Yanga ilianza kushambulia kwa nguvu ambapo Ambani, Amir Maftah na Wisdom Ndhlovu walionana vema lakini mmaliziaji, Mrisho Ngassa alipiga nje huku Ben Mwalala akikosa mabao mfululizo. [173]
vibaya
Najisikia vibaya kwa hali hiyo. [174]
vifaa
DAWA na vifaa mbalimbali vya hospitali vilivyotolewa msaada na Serikali ya Misri vikiwa na thamani ya zaidi ya dola 3 milioni za Marekani, vimetelekezwa katika ubalozi wa nchi hiyo kwa muda mrefu bila kuchukuliwa na serikali. [175]
vijana
Alisema kama shule zitatumika kutoa elimu ya ujuzi pekee na kuacha maadili taifa litaendelea kuzalisha vijana wenye ujuzi, ambao wanawaza kuutumia ujuzi huo kwa mambo ya kifisadi yanayoliangamiza Taifa. [176]
vipi
Huku sasa ni kuzinguana, kumbe hata mawaziri nao huwa wanakuwa wasanii, inawezekanaje niwasiliane na wewe nikiwa nje ya nchi uniambia yuko mvumbuzi wa dawa ya kuponya tatizo langu halafu sasa aniambie hajui atampata vipi, huu ni uhuni,” alijisemea Kazim akiwa mwenye hasira na kuwaza kuwa kama asingempa dawa hiyo angefanya mpango wa kumuua kwa sababu naye alikuwa albino. [177]
vita
Siku ya wanawake Duniani ilipata msukumo mpya mwaka 1915 yalipofanywa maandamano makubwa huko Bern Switzerland yakishinikiza kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia. [178]
vituo
Akizungumza na Mwananchi Jumapili jana, Mkurugenzi wa mamlaka hiyo, Haruna Masebu, alisema ongezeko la bei hiyo wakati huu limekuwa kubwa kuliko wakati mwingine tangu mamlaka yake ilipoanza utaratibu wa kutangaza bei elekezi kwa wauzaji, wamiliki wa vituo vya mafuta. [179]
vya
Jana akihutubia mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Kibandamaiti Mkoa wa Mjini Magharibi, Maalim Seif alisema kauli hiyo ni ya kuwagawa Wazanzibari wote hata wa Chama Cha Mapinduzi visiwani humo, ambao mwaka 2000 walimchagua Dk Gharib Bilali, lakini chama hicho kilipoketi Dodoma kikawaletea Amani Karume ambaye alikuwa ameshika nafasi ya tisa. [180]
vyake
Kweli wale watu walimuua yule albino na kwenda na viungo vyake kwenye maeneo ya biashara. [181]
wa
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuacha kutamka maneno ya kuwagawa Wazanzibari kwa vile hawagawanyiki. [182]
wako
Alisema mjane Liliani Mgonja yuko Same, kijijini Vudee ambapo marehemu alikuwa akiishi na familia yake, na kwamba watoto wawili wa marehemu wako nje ya nchi, lakini wametoa ridhaa shughuli za mazishi ziendelee. [183]
wakuu
Kwani, wakati viongozi wakuu wakifikia muafaka, wapambe ndani ya chama cha upinzani bado wanasita kushirikiana na serikali kigeugeu ya Mugabe. [184]
wale
Watu wanawadharau waarabu wale lakini ni wazuri sana tukumbuke mwaka jana iliwatoa Yanga katika michuano ya kombe la Shirikisho kwa hiyo hatutakiwi kujibweteka, alisema Hau. [185]
wanafanya
Leo hatungeona barabara zinashindwa kukamilika kwa sababu ya wakandarasi wanafanya kazi wanavyotaka. [186]
wangu
Kuhusu machizi wangu wa mkoa, wanangu wa Zenji nakuja huko kwenye Busara, tutajimiksi tu Ngome Kongwe, wanangu wa bara Shangwe Tour inaanza muda si mrefu, na watu wangu wa Primetime tutakuja tena kuwasabahi na burudani mbili tatu, ..halaf' tuoneeeee. [187]
wapi
Kama semina hiyo ingekuwa na matunda tugeona mawaziri wakifanya kazi kama mchwa kumsaidia rais, lakini wapi hawana lolote wamebaki kupiga siasa tu. [188]
waziri
Tsvangirai atawateua Mawaziri 13 na manaibu waziri sita. [189]
wengi
Alisema vifaa na dawa hizo zimehifadhiwa katika maghala ubalozini hapo kwa muda wote huo, huku Watanzania wengi wakihangaika kutafuta huduma ya matibabu. [190]
wetu
Mfumo wetu wa sasa wa mikopo kutoka mabenki na vyombo vingine vya fedha, ambao umekuwa ukiandamana na kumtaka mkopaji kuweka dhamana ya mali yenye thamani inayolingana na mkopo anaouomba, umekuwa kikwazo kikubwa," alisema Kikwete. [191]
wiki
Katika hatua nyingine, Mwakalebela amesema kuwa Kamati ya Mashindano ya TFF, itakutana wiki hii kujdili, pamoja na mambo mengine, mwenendo mzima wa Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na ushiriki wa timu. [192]
wimbo
Ngwea alisema kuwa hivi sasa tayari amesharekodi nyimbo kadhaa ambazo ni kali na mpaka sasa amebakiza wimbo mmoja tu ambao ataupa jina la ‘weekend’ ambayo atamshirikisha Joseph Chameleone ambaye ni mgonjwa kwa hivi sasa. [193]
yangu
Wizara yangu haina taarifa zozote kuhusu suala hilo la dawa na vifaa kutoka Misri," alisema Dk Kigoda. [194]
yao
Hamad alisema kauli zilizotolewa na Rais Kikwete wakati wa ziara yake Zanzibar haziashirii kuwepo uchaguzi huru na wa haki Zanzibar, kwa vile wapinzani wasitarajie kukamata madaraka ya dola na wengine wataishia kutafuta nafasi hiyo hadi mwisho wa maisha yao. [195]
yapi
Unatazama yapi mazuri na yapi mabaya, sasa mazuri yakiwa mengi, mabaya unayaacha tu," alisema Ngasongwa aliywahi kushika nafasi ya uwaziri katika serikali za awamu ya pili, tatu na ya nne. [196]
yote
KAMPUNI ya Reli Tanzania (TRL), imeongeza kiwango cha nauli kwa asilimia 11.6 kwa madaraja yote kufuatia kuongezeka kwa huduma mpya. [197]
za
Vile vile amesema kutokana na kauli hizo za Kikwete wanachama wa chama chake wataingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho, wakiwa wamejitayarisha kupambana na mazingira yoyote yatakayojitokeza. [198]
zake
Lipumba alisema katika mikutano mitatu ya Rais Kikwete na mabalozi aliyoifanya kuanzia 2006 hadi 2008, alikuwa akiwaeleza kuwa ameshafikia hatua nzuri katika kushughulikia mpasuko wa kisiasa wa Zanzibar kitendo ambacho ni kinyume na kauli zake. [199]
zangu
Kwa miaka yote ambayo nilikuwa nimekaa na kufanya shughuli zangu nyingine nilikuwa naandika mashairi ambayo mpaka leo hii nayatumia kwenye nyimbo zangu nyingine ambazo naendelea kurekodi"Alisema. [200]