SideMontero
Imejiunga 26 Machi 2008
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Kama una lolote la kuchangia tafadhali usisite. Wikitionary ni ya kila mtu na tuwe na wivu kwa wenzetu wa Wikitionary ya Kiingerza. Hata wao walianza kama sisi.
- Nakuunga mkono Said. Lakini vipi tutatoka? Hapa naona bado ni ndoto kwa Wikamusi hii kutoka. Labda tusubirie, lakini hadi lini? Wikipedia inayoonekana kuwa juu zaidi ya Wikamusi, nayo inawachangia wageni kigeni tu. Hao wanyeji ni wakuwahesabu. Sipati picha juu ya hilo na ndiyomaana sijipi moyo kuhusu hii Wikamusi! Kazi njema...--Muddyb Blast Producer 10:16, 29 Mei 2008 (UTC)