I added the request to change your username here. Robert Ullmann 12:50, 5 Juni 2008 (UTC)Reply

Salam nyingi kutoka Dar es Salaam zikufikie Nd. Rose Waswa. Mie ni mmoja kati ya wachangiaji wa hapa katika Wikamusi hii ya Kiswahili, pia ni mkabidhi katika Wikamusi hii na Wikipedia kwa Kiswahili! Ningependa kufahamu machache kuhusu wewe, je inawezekana?--Muddyb Blast Producer 12:57, 5 Juni 2008 (UTC)Reply
Inaonekana kuwa wewe huna mda wa kumjibu mtu kabisa. Je huu ni uungwana? Lahasha si uungwana! Haipendezi kibinaadamu kuchuniana. Ubarikiwe na minuno yako, utajiju!!!!!!!!--Muddyb Blast Producer 13:52, 18 Juni 2008 (UTC)Reply

lower case!

hariri

The word lists you have set up all have the words capitalized, this is a problem; any entries will have to be moved to lc. Robert Ullmann 13:10, 5 Juni 2008 (UTC)Reply

Samahani kuchukua muda mrefu kukujibu.Mimi ni dadake Robert Ullman.Niko chuo kikuu cha Kenyatta hapa Kenya.Tunamsaidia Robert kuandika lugha ya kiswahili:-]Nilichukua muda mrefu kujibu kwani Robert hakuwa amenionyesha jinsi ya kutuma ujumbe kwako.Hata sasa sijui kama utapata ujumbe huu wa samahani.
Pole sana. Utajua taratibu! Swali: Wewe ni Mzungu? Pole sana kutojua kumjibu mtu!--Muddyb Blast Producer 08:50, 9 Julai 2008 (UTC)Reply

Uchaguzi wa Bureaucrat

hariri

Salam nyingi kwako dada Rose. Kuna uchaguzi wa bureaucrat wa Wikamusi yetu ya Kiswahili. Unatakiwa uende kupiga kura katika ukurasa wa uteuzi mpya wa bureaucrat. Fungua hapa. Kila lakheri na usisahau kumpigia kula kaka yako!--Muddyb Blast Producer 08:10, 10 Julai 2008 (UTC)Reply

Daylogs

hariri

Tazama en:User:Robert_Ullmann/Tafsiri/Daylog/2009-04-09 Robert Ullmann (majadiliano) 12:12, 10 Aprili 2009 (UTC)Reply

Na en:User:Robert_Ullmann/Tafsiri/Daylog/2009-04 (if I have it right, this is month-to-date ;-) Robert Ullmann (majadiliano) 14:31, 14 Aprili 2009 (UTC)Reply
Hey, Bob. At least you can move forward if you keep moving on trial in your each sentence to write Kiswahili. And I'm pretty sure it is going to help you a lots to get further experience! But it is pretty obviosly you don't even need to know proper Kiswahili, so far. Lakini mambo yatajipa, kila la kheri.--Muddyb Blast Producer (majadiliano) 13:12, 15 Aprili 2009 (UTC)Reply

verb template

hariri

In en.wikt: en:Template:sw-conj Robert Ullmann (majadiliano) 14:49, 12 Juni 2009 (UTC)Reply