Phelix Oginga
Imejiunga 4 Juni 2008
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Karibu Nd. Phelix Oginga katika Wikamusi ya Kiswahili! Tunamfurahia kila mmoja anaeingia na kujiunga nasi. Jisikie huru kuchangia lolote upendalo na endapo utakuwa na swali, basi uliza tu utajibiwa! Kwasasa utanipata mimi Muddyb na Bw. Robert Ullmann! Karibu sana.--Muddyb Blast Producer 14:16, 4 Juni 2008 (UTC)
- Salaam nyingi kutoka Dar es Salaam zikufikie Nd. Phelix Oginga. Kuna ombi unaombwa ufanye. Sehemu uliyoandika makala haya unaomba uhondoshe yale maelezo na uyapeleke katika kurasa yake husika! Kwani ile sehemu uliyoandika, si yenyewe! Natumai umenipata vilivyo - ama sivyo?--Muddyb Blast Producer 16:10, 17 Juni 2008 (UTC)