Kasmil
Kasmil, salam! Karibu katika Wikamusi ya Kiswahili. Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi! Naona umechapa kazi kwa kiasi kikubwa kabisa - unastahili pongezi!!! Haya, nimeona ukinadika mengi, lakini pia naona hakuna kitu kama JAMII. Jamii inasaidia kukusanyia mtililiko mmoja wa maelezo ambayo yanatumika au yapo kwenye jamii moja! Lakini pia ninashida moja ambayo imekithiri kwa mradi huu wa Kiswahili. Athira hizo ni kama (A: tangu awali hawakuwa wakiandika maneno kwa kufuatana na taratibu za kuweka jamii - hivyo wanaokuja wanaendelea kufanya kama wale waliopita!) (B: hapa hakuna msimamizi ambaye atatizama hasara ama ukosefu wowote wa uhandishi ama jamii, hivyo, hali inaendelea kadiri siku zinavyozidi kwenda). Ni ahayo, tu, mengine nitajaribu kuongea na Robert. Cheers.--Muddyb Blast Producer (majadiliano) 07:08, 22 Aprili 2009 (UTC)