Christian Anold Mosha
Imejiunga 20 Aprili 2023
Latest comment: mwaka 1 uliopita by Christian Anold Mosha in topic Marekebisho
Marekebisho
haririUsitumie maneno ya kingereza tafadhali, jaribu kutafsiri kwenda kwenye kiswahili ndipo uanzishe kwa kiswahili, Mfano umeanzisha makala iitwayo 'water vapour' badala ya 'Mvuke'. Amani kwako. Super8 Devs (majadiliano) 12:00, 22 Aprili 2023 (UTC)
- Sijaianzisha mimi nimeirekebisha tu na ndio nilikua na hamisha ukurasa Christian Anold Mosha (majadiliano) 12:07, 22 Aprili 2023 (UTC)