Kiswahili

hariri
 
wingu

Nomino

hariri

wingu (wingi mawingu)

Pronunciation

hariri

  1. Wingu ni matone madogo ya maji yanayoelea pamoja katika angahewa juu ya ardhi. Mawingu ni mahali ambako mvua na theluji hutoka.

Tafsiri

hariri