vichele
-> Gari (Nomino).
(wingi) wa gari ni magari. -Gari ni chombo cha moto kilichotengenezwa kwa ajali ya kubeba abiria na mizigo yao, chombo hicho kina magurudumu mannee,mbele mawili na nyuma mawili. Huendeshwa kwa kutumia usukani,huendeshwa na mtu mmoja tu,naye huitwa dereva, chombo hicho cha moto hutumia mafuta yaitwayo petroli. car(en:) eghari(kikurya)