Kiswahili

hariri
 
ukungu mzito

Kitenzi

hariri

ukungu (ukungu)

  1. Ni aina ya mawingu mazito meupe ambayo hutanda ardhini na kusababisha hali ya gizagiza kama inavyokuwa asubuhi sana kabla ya mapambazuko. Hali hii huwafanya watu kutoona vizuri.

Tafsiri

hariri