udaga ni ugali unaopikwa kwa kuchanganya unga wa muhogo na ulezi, hupatikana zaidi maeneo ya Musoma kwa Wakuria.