tetemeko la ardhi
Kiswahili
haririNomino
hariritetemeko la ardhi
Pronunciation
hariri
- Tetemeko kubwa laweza kusababisha uharibifu mkubwa na vifo, hasa kutokana na majengo yanayoanguka.
Baharini tetemeko laweza kusababisha tsunami, yaani wimbi kubwa lenye hatari pale linapofika pwani.
Tafsiri
hariri- Kifaransa: tremblement de terre (fr)
- Kiingereza : earthquake (en)
- Kityap: a̱tyiri̱m a̱byin (kcg)