tarakilishi
Kiswahili
haririNomino
hariritarakilishi
- mtambo wa kupiga chapa, kufanya hesabu na kusambaza ujumbe kwa barua pepe
Neno tarakilishi liko katika ngeli ya i-/zi-
Kisawe cha tarakilishi ni kompyuta.
Tarakilishi pia inaweza kufafanuliwa kama mashine ya elekronoki ya kuhifadhi na kuchanganua taarifa zilizoingizwa. Inaweza kukokotoa na kuongoza mitambo.