Kiswahili hariri

Nomino hariri

stima (stima)

  1. meli inayoenda kwa nguvu za mvuke
  2. kisawe cha umeme (katika Kenya)

Tafsiri hariri

  1. Kiingereza: steamer (en)
  2. Kiingereza: electricity (en)