Kiswahili

hariri

Nomino

hariri

sitiari

  1. Mbinu ya kisanaa ya kutumia neno moja kumaanisha jambo lingine kwa kulinganisha au kuashiria.
  • Yeye ni simba katika ulingo wa soka. (Hapa "simba" inatumika kama sitiari kumaanisha nguvu na uhodari wa mchezaji).
  • Macho yake ni mawingu mazito, (Hapa "mawingu mazito" imetumika kumaanisha huzuni au uchungu wa macho yake).

Tafsiri

hariri

Kiingereza : metaphor