sintofahamu
Kiswahili
haririNomino
haririsintofahamu; pia siutafahamu
- Hali ya kutokuelewa au kukosa uhakika kuhusu jambo fulani.
- Hali ya kuchanganyikiwa akilini au kutoelewa kinachoendelea.
Matumizi
hariri- Marehemu aliacha familia yake katika sintofahamu kuhusu urithi wake.
- Baada ya kusikia taarifa hizo, alijawa na sintofahamu kuhusu hatma yake.
Uhusiano
haririIngizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |