shoga
Kiswahili
haririNomino
haririshoga
- mtu ambaye hana hisia za kike. Yaani mwanamme anayetaka kufanya mapenzi na mwanamme mwenziwe. Pia aeza itwa msenge
- rafiki uliyeshibana naye kiurafiki hutumika kwa jinsia ya kike yaani marafiki ambao ni Wa kike.kwa mfano Asha na mwanaidi
- mtu anaye penda kufanya vitu za kikike.