pumzika
Kiswahili
haririKitenzi
haririKitenzi
pumzika (msamiati: pumzika)
- Kupumzisha mwili au akili baada ya kazi au shughuli.
- Kujihini mihangaiko kwa kwa minajili ya kufurahia hali ya utulivu wa nafsi
Visawe
haririMifano
hariri- Baada ya kazi ngumu, ni muhimu kupumzika vizuri.
- Jumapili ni siku nzuri ya kupumzika na familia.
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |