pojaa
Kiswahili
haririKitenzi
hariri- Pojaa - kunywea au kupungua. Kisawe cha "nywea."
Kauli za vitenzi au unyumbulifu wa vitenzi
hariripoja.a kt [ele] nywea; sinyaa. (tde) pojalia, (tdek) pojalika; (tds) pojaza; (tdw) pojawa.
Tafsiri
haririIngizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |