Mwanzo
Bahatisha
Ingia
Mpangilio
Michango
Kuhusu Wiktionary
Kanusho
Tafuta
pango
Lugha
Hariri
Kiswahili
hariri
Nomino
hariri
pango
(
wingi
mapango
)
shimo
ndefu
Ni muundo wa asili uliochongwa katika mwamba au ardhi ambao unaweza kutumiwa na wanyama,Wanadamu kama makazi.
Ni malipo ya nyumba ya pangwa au kukodiwa.(Ngeli ya I-ZI)
Tafsiri
hariri
Kiingereza :
cave
(en)
Luhya:
erina
(luy)