paka
Kiswahili
haririNomino
hariripaka
- paka mnyama wa nyumbani ambaye hufugwa na binadamu pia hula panya
2. Kuna wanyama mwitu wengi wenye kufanana na jamii ya paka wa majumbani.
3. :Simba na tiger ni paka wakubwa. Kisawe cha neno paka 4. Neno hili linamaanisha mnyama kipenzi anayejulikana kwa manyoya laini, uwezo wa kuona vizuri usiku, na tabia ya kupenda kuzurura.