Kiswahili hariri

Nomino hariri

nyika

  1. sehemu inayoota nyasi na miti michache

Grasslands

AU

Ni sehemu yenye tabia ya ujangwa ambayo haina miti wala majani, na ikitunzwa vizuri majani mafupi huota.