nomino za pekee
Kiswahili
hariri- Nomino za pekee ni maneno yanayotaja majina mahususi ya watu, mahali au vitu ambavyo vina sifa ya pekee. Maneno hayo yanapoandikwa lazima yaanze na herufi kubwa mwanzoni.
Tafsiri
hariri- Kiingereza proper noun
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |