Kiswahili

hariri
  1. Nomino za kawaida ni maneno yanayotaja majina ya watu, mahali au vitu ambavyo vina sifa ya kawaida tu. Watu na vitu hivyo huenda vinafanana kwa kuwa umbo sawa, sifa sawa, na matumizi sawa yanayofanana. Majina haya yanapoandikwa huanza kwa herufi ndogo - ila tu pale yatakapoanza mwanzoni mwa sentensi ndipo yataanzwa kwa herufi kubwa.

Tafsiri

hariri
ina makala kuhusu: