Kiswahili

hariri
 
mchoro inayoonyesha watu wakivamia kwa mistari katika vita vya Hohenfriedberg

Nomino

hariri

mstari (wingi mistari)

  1. mchoro wa kalamu kwenye karatasi ulionyooka sambamba
  2. watu wanaposimama mmoja baada ya mwingine

Tafsiri

hariri

Mstari ni nomino. Wingi mstari ni mistari. Neno mstari liko katika ngeli ya u-/i-. Mstari ni mwendelezo wa mchoro ulionyooka. Visawe vyake ni mfuo, mlio na mtai.

Maana ya pili. Mstari ni mfuatano wa vitu au watu mmoja baada ya mwingine. Visawe vyake ni mraba, foleni na mlolongo.

Neno mstari limetokana na Kiarabu.

Matumizi ya mstari. 1. Kusisitiza maandishi fulani. Kwa mfano: mtoto yule anacheza. 2. Kuonyesha vitabu, majarida au magazeti kwenye maandishi. Kwa mfano: gazeti la Daily Nation liko na nani?