Kiswahili

hariri

Nomino

hariri

msafara (wingi misafara)

  1. charo

Msafara:Ni kundi la watu wanaotembea pamoja.Au ni mfululizo wa mambo au mipango inayotendeka kwa wakati mmoja. Mfano ni pale Rais anapokuwa akitembelea sehemu furani akiwa ameongozana na watu wengine huitwa msafara wa Rais.

Kisawe

hariri

Tafsiri

hariri