motoboti
Kiswahili
haririNomino
haririmotoboti
- Hii ni nomino ya asili ya Kiingereza inayomaanisha chombo cha usafiri juu ya maji kinachobeba watu na huenda kwa kasi. Chombo hiki kawaida huendeshwa na injini ya mwako wa ndani inayotumia mafuta. Mfano: Mwezi jana, tulisafiki katika motoboti kwenda katika kisiwa cha Mombasa.
Tafsiri
hariri- Kiingereza : motor boat (en)