Kiswahili hariri

 
mikoko.jpg

Nomino hariri

mkoko / mikoko (wingi)

Pronunciation hariri

  1. mti unaoota baharini unaotumiwa zaidi kwa kujengea na ambao magome yake hutoa dawa inayozuia ngozi za wanyama zisioze, pia hutoa rangi nyekundu

Ndio kwanza mkoko ualike maua

Tafsiri hariri