mcheza na tope humruka

Ni methali yenye maana kuwa mwenye kuzoena na jambo baya ule ubaya wa jambo hilo humwathiri.

Ina maana sawa na methali isemayo kuwa achezaye na tope humrukia.

Ndio