Kiswahili hariri

 
manyunyu

Nomino hariri

manyunyu (manyunyu)

  1. Aina ya mvua ambayo huwa ni nyepesi sana na aghalabu hunyesha kwa matone madogomadogo na

mtu anaweza kutembea ndani ya mvua bila kulowa.

Tafsiri hariri