mabadiliko ya hali ya hewa
Kiswahili
haririNomino
haririmabadiliko ya hali ya hewa
- Mabadiliko ya Hali ya Hewa: Mabadiliko ya muda mrefu ya hali ya hewa duniani, yanayosababishwa na shughuli za binadamu kama vile uzalishaji wa gesi za chafu.
Tafsiri
hariri- Kiingereza : climate change (en)