Kiswahili hariri

Nomino hariri

lubega (lubega)

Pia ni rubega.

  1. mvao wa nguo k.v shuka, ambao upande mmoja hupitishwa chini ya kwapa la mkono mmoja, kupitia mbele ya kifua,na upande mwingine kufungiwa juu ya bega la mkono mwingine, kupitia mgongoni.