Kiswahili hariri

Nomino hariri

limbuko (wingi malimbuko)

  1. kuonja jambo mara ya kwanza
  2. tunda au zao la kwanza la shamba au mifugo,hivyo hii ni sadaka itolewayo kwa kumshukuru Mungu kwa kumtolea matunda au mazao ya shamba lako au mifugo ya kwanza kuzaliwa zizini mwako Walawi 2;14,2Fal4:42 na Mt14:16.

Tafsiri hariri