Kiswahili

hariri
 
Latityudi

Nomino

hariri

latityudi (latityudi)

  1. Mstari wa kidhahania ambao huchorwa katika ramani kutoka mashariki kwenda magharibi na aghalabu huweza kutumiwa kupima umbali kutoka kaskazini au kusini mwa istiwahi.

Tafsiri

hariri