Kiswahili hariri

 
korongo ndevu
 
korongo samawati
 
korongo (mnyama)

Nomino hariri

korongo (wingi korongo)

  1. ndege wa mwitu wa familia Gruidae mwenye miguu mirefu na hupita kwenye maji ya ziwa kusaka chakula
  2. ndege wa mwitu wa familia Ciconiidae mwenye miguu mirefu na hupita kwenye maji ya ziwa kusaka chakula
  3. mnyamapori mkubwa mwenye mabaka meusi kichwani na pembe zilizopindika kuelekea nyuma

Tafsiri hariri

Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw