Mwanzo
Bahatisha
Ingia
Mpangilio
Michango
Kuhusu Wiktionary
Kanusho
Tafuta
kola
Lugha
Fuatilia
Hariri
Kiswahili
hariri
Nomino
hariri
kola
(
kola
)
Kola ni sehemu ya nguo inayozunguka shingo, kama kwenye shati, koti, au blauzi
Kola pia inaweza kumaanisha utepe au mkanda unaowekwa shingoni mwa wanyama kama mbwa au paka kwa ajili ya kuwatambulisha au kuwashikilia.
Tafsiri
hariri
Kiingereza :
collar
(en)