kiwango cha uakisi kwenye barafu
Kiswahili
haririNomino
haririkiwango cha uakisi kwenye barafu
- kiasi cha mwanga au mionzi inayoakisiwa au kurudishwa kutoka kwenye uso wa barafu.
Tafsiri
hariri- Kiingereza : ice-albedo feedback (en)
kiwango cha uakisi kwenye barafu