Kiswahili

hariri

Nomino

hariri

kinara (wingi vinara)

  1. mwenyekiti katika idara au kampuni fulani fulani
  2. Kinara, kifaa cha kushikilia mishumaa au balbu kinachotumika kama taa. Menorah ya Kiyahudi ni kinara ya matawi saba au tisa.

Tafsiri

hariri