kichocheo
Kiswahili
haririNomino
haririkichocheo (wingi vichocheo)
- kitu cha kukolea moto
- kitu kinachotia ari ya kufanya jambo; kitu kinachotia shauku; motisha.
- katika elimu ya kemia dutu ambayo hubadilisha kasi au kima cha mmenyuko wa kemikali
- jambo au wazo linalosisimua mawazo
Tafsiri
hariri- Kiingereza : fan (en)
- Kiingereza : motivation (en)
- Kiingereza : catalyst (en)
- Kiingereza : provocation (en)