Kiswahili hariri

 
kiboko mnyama

Nomino hariri

kiboko (wingi viboko)

  1. mnyama anayeishi majini mwenye meno makubwa na miguu minne hutoka majini usiku kula majani
  2. fimbo la kuchapa mtu

Tafsiri hariri