Kiswahili

hariri

Nomino

hariri

kibaka (wingi vibaka)

  1. mtu mwenye tabia ya kupora mifuko ya watu au kuchukua vitu vya watu wengine kwa kudanganya au kwa kutumia nguvu na kuacha mtu au watu hao bila kitu

Tafsiri

hariri