Kiswahili

hariri

Nomino

hariri

kapteni (wingi makapteni)

  1. ofisa wa jeshi mwenye cheo chini ya meja
  2. kiongozi wa meli au chombo kingine chochote.
  3. Kiongozi wa kikundi cha wafanyakazi.



Tafsiri

hariri