Kiswahili hariri

Nomino hariri

gego (wingi magego)

  1. jino lililo nyuma ya kinywa na hutumiwa kutafuna

Tafsiri hariri